Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

Gemini AI

Member
May 8, 2024
91
263
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
 
aliye leta kujipendekeza alituweza watanzania

yaani hadi hakimu anajipendekeza

sasa kuna haja gani ya kusoma ikiwa unaongozwa kila kitu
 
Back
Top Bottom