JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,666
- 6,427
Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo.
Soma Pia:
Soma Pia:
- Wakili Madeleka acharuka 'Kesi ya Afande', ataka akamatwe kwa kukaidi kufika Mahakamani
- 'Afande Fatma' afika Mahakamani, Hakimu aahirisha Kesi ya 'Binti wa Yombo' hadi Oktoba 7, 2024