Wakili Chuwa: Wananchi Tondoroni (Kisarawe) wamebomolewa nyumba bila kuzingatia taratibu na wanapokea vipigo

informer 06

Member
May 11, 2024
37
23
Nyumba zaidi ya 500 zinadaiwa kubomolewa kwenye Kijiji cha Tondoroni Kata ya Kiluvya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na maafisa wa Jeshi la Wananchi kufuatia uwepo wa mgogoro wa aridhi baina ya Jeshi hilo na wanakijiji.

Baadhi ya wananchi wanaeleza kwamba zoezi la ubomoaji ambalo lilianza juni 17, linatekelezwa na maafisa hao ambao wapo kwenye kambi iliyopo karibu na eneo hilo kwa matumizi ya nguvu bila kielelezo chochote cha Mahakama wala ushirikishwaji.

IMG_5143.jpeg

Wanadai kwamba zoezi hilo lilifanyika bila hata baadhi ya wananchi kutoa mali zao ndani ya nyumba hizo na kupelekea uharibifu wa vitu mbalimbali, huku baadhi ya Kaya zikidaiwa kukosa maeneo ya kuishi kwa kipindi hiki ambacho makazi yao wamebomolewa.

Mmoja kati ya wananchi aliyejitambukilisha kwa jina Xxx anadai alipojaribu kuhoji utaratibu uliotoa muongozo wa nyumba hizo kubomolewa alipewa kipigo na mmoja kati ya maafisa wa Jeshi waliokuwa wakitekeleza zoezi la bomoabomoa.

Eneo hilo linadaiwa kuwa na mgogoro wa muda mrefu unaodaiwa kutokana na Jeshi kutaka kutanua eneo lao. Baada ya mkakati huo kuwekwa wazi kunadaiwa kuwepo na msuguano baina ya upande wa wanakijiji na upande wa Jeshi hali ambayo imepekea wananchi kufungua kesi mahakamani.

Pia soma: Nini Hatima ya wanakijiji zaidi ya 2000 wa Tondoroni, Kisarawe waliopo katika mgogoro wa aridhi na JWTZ?

Wanaeleza kwamba Mahakama haijatoa idhini yoyote ya kisheria inayoruhusu nyumba hizo kubomolewa sambamba na eneo la ekari 5000 kuchuliwa na Jeshi.

Hata hivyo wananchi hao wakitoa malalamiko yao wanadai kuwa kumekuwepo na madai kuwa wamelipwa fidia kupisha maeneo hayo jambo ambalo wanadai kuwa halina ukweli.

Akizungumzia suala hilo, Wakili Edward Chuwa ambaye anawakilisha wananchi wa Kijiji Tondoroni anadai kuwa walifungua kesi ya madai mwaka 2015 kwenye Mahakama kuu divisheni ya aridhi.

IMG_5141.jpeg

Anadai kuwa hukumu ilipotoka walikata rufaa ambapo Mahakama ilibaini mapungufu na kuelekeza hukumu hiyo iandikwe upya au kusikilizwa tena na Jaji mwingine. Anasema kwamba baada ya maelekezo hayo walikubaliana mawakili wa pande ambili ambao ni Wakili upande wa wananchi pamoja na upande wa Jeshi kupitia Mwanasheria wa Serikali kuwa hukumu iandikwe upya kupitia ushahidi hule hule.

Hata hivyo anaeleza kuwa baada ya hukumu hiyo kutolewa upya anadai ilienda nje ya maelekezo ya Mahakama ya rufani hasa kwa kueleza suala la fidia ambalo haliwa sehemu ya hoja za walalamikaji ambao ni wanakijiji suala ambalo limewafanya kurudi Mahakama ya rufani.

Wakili huyo anaeleza kwamba licha ya upungufu wa kisheria ambao walibaini kwenye hukumu hiyo lakini hakuna sehemu yoyote ambayo ilielekeaza uvunjwaji wa miundombinu ya wakazi wa maeneo hayo.

Kuhusu swala la fidia amesema kwamba haikuwa hoja ya wananchi kwenye zilizowasilishwa mahakamani kwa sababu hili fidia itolewe lazima ziwepo nyaraka rasimi za kisheria za eneo husika kutwaliwa, jambo ambalo amedai uwa lina michakato mbalimbali ikiwemo kupitia Bungeni pamoja na kutiwa sahini na Rais.

Amesema kwamba tayari wamepokea taarifa ya wakazi wa Kijiji hicho kubomolewa nyumba na kupokea kipigo kutoka kwa maafisa wa Jeshi wanaotekeleza zoezi la kubomoa makazi.

Anasema kwamba hakuna nyaraka ya taarifa yoyote ambayo inaonesha idhini ya kisheria kuwa aridhi hiyo ilitwaliwa.

"Hakuna taarifa ya keshiria ya kuchukuliwa kwa aridhi hiyo wala hakuna fidia, hatuna nyaraka yoyote inayodai kuwa aridhi ilitwaliwa” amesema Wakili Chuwa

Kuhusu madai ya kutokuwepo kwa nyaraka au kufuatwa kwa taratibu za kuwaondoa wananchi hao kwenye makazi yao na kutekeleza zoezi la bomoa bomoa ameeleza "Hili mtu atolewe kwenye nyumba au kuvunjiwa kama wanavyofanya sasahivi katika kesi ambayo imeshisha mahakamani ni lazima kuwepo kwa amri inayofuata hukumu, kwahiyo hakuna amri yoyote ambayo imetolewa”

Wakili Chuwa ameongeza "Tumeanza kupokea taarifa kwamba wateja wetu wameanza kuvunjia na wengine kupigwa na hao wanajeshi kuna Mama mmoja nasikia ameumizwa sana na mtoto wake. Kwahiyo hakuna karatasi yoyote wala amri yoyote ya mahakama kuruhusa kinachofanyika

Aidha amesema kuwa tayari wameshapeleka rufaa kwenye mahakama ya rufani. Lakini katika hatua nyingine kuhusu sakata la bomoa bomoa anadai kuwa hawakuwa na urahisi wa moja kuweka zuio kwa sababu hakuna nyaraka ya taarifa ya wazi ambayo ingewafanya waiombe mahakama kuweka zuio hilo.

Hata hivyo amesema kuwa baada ya kutafakari na kuona kumekuwepo na mazingira yenye viashiria vya uvunjifu wa haki za wateja wao tayari wamepeleka maombi ya dharura mahakamani kuiomba Mahakama kutenda haki kwa kuingilia kati zoezi hilo linaoendelea ambalo wao wanadai linatekelezwa kwa nje ya utaratibu wa kisheria.

Hata hivyo Wakili ameomba mamlaka za kiserikali kumulika suala hilo akidai kuwa linaendeshwa kwa matumizi ya nguvu ambayo yanapelekea ukiukwaji wa haki nyingine za wananchi.

Itakumbukwa hivi karibuni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Stergomena Tax aliulizwa swali na Mbunge wa viti maalum kutoka Pwani lilohoji kwamba "Ni lini Serikali itawalipa fidia au kurudisha maeneo (wananchi wa Tondoroni ili waweze kuyaendeleza?"

Waziri alitoa majibu ya jumla yaliyolenga maeneo mengine yenye utata, ambapo alisema kuwa wanao mpango wa kusuluhisha migogoro baina ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania na wananchi ambao umejumuhisha maeneo 152 yanayohusisha Tanzania bara na Tanzania Zanzibar.

IMG_5146.jpeg
Ambapo mpaka anatoa taarifa hiyo alidai kuwa tayari walikuwa wamepima maeneo 86 na kufanya uthamini katika maeneo 13, na kuwa zoezi la upimaji unaendelea katika maeneo 66, ikiwa mpango huo ni wa miaka mitatu, lakini alidai kuwa baadhi ya wabunge wamekuwa wakimfuata kuhusu suala la aina hiyo, ambapo alitimia nafasi hiyo mbele ya Bunge kuomba uvumilivu wakati wakikamirisha michakato hiyo.
 
Hilo ndo lahitajika ili uvamizi usiwepo, mtu awe na uhakika kabla hajanunua.
 
Nyumba zaidi ya 500 zinadaiwa kubomolewa kwenye Kijiji cha Tondoroni Kata ya Kiluvya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na maafisa wa Jeshi la Wananchi kufuatia uwepo wa mgogoro wa aridhi baina ya Jeshi hilo na wanakijiji.

Baadhi ya wananchi wanaeleza kwamba zoezi la ubomoaji ambalo lilianza juni 17, linatekelezwa na maafisa hao ambao wapo kwenye kambi iliyopo karibu na eneo hilo kwa matumizi ya nguvu bila kielelezo chochote cha Mahakama wala ushirikishwaji.
View attachment 3046934
Wanadai kwamba zoezi hilo lilifanyika bila hata baadhi ya wananchi kutoa mali zao ndani ya nyumba hizo na kupelekea uharibifu wa vitu mbalimbali, huku baadhi ya Kaya zikidaiwa kukosa maeneo ya kuishi kwa kipindi hiki ambacho makazi yao wamebomolewa.

Mmoja kati ya wananchi aliyejitambukilisha kwa jina Xxx anadai alipojaribu kuhoji utaratibu uliotoa muongozo wa nyumba hizo kubomolewa alipewa kipigo na mmoja kati ya maafisa wa Jeshi waliokuwa wakitekeleza zoezi la bomoabomoa.

Eneo hilo linadaiwa kuwa na mgogoro wa muda mrefu unaodaiwa kutokana na Jeshi kutaka kutanua eneo lao. Baada ya mkakati huo kuwekwa wazi kunadaiwa kuwepo na msuguano baina ya upande wa wanakijiji na upande wa Jeshi hali ambayo imepekea wananchi kufungua kesi mahakamani.

Wanaeleza kwamba Mahakama haijatoa idhini yoyote ya kisheria inayoruhusu nyumba hizo kubomolewa sambamba na eneo la ekari 5000 kuchuliwa na Jeshi.

Hata hivyo wananchi hao wakitoa malalamiko yao wanadai kuwa kumekuwepo na madai kuwa wamelipwa fidia kupisha maeneo hayo jambo ambalo wanadai kuwa halina ukweli.

Akizungumzia suala hilo, Wakili Edward Chuwa ambaye anawakilisha wananchi wa Kijiji Tondoroni anadai kuwa walifungua kesi ya madai mwaka 2015 kwenye Mahakama kuu divisheni ya aridhi.
View attachment 3046935

View attachment 3046936
Ambapo mpaka anatoa taarifa hiyo alidai kuwa tayari walikuwa wamepima maeneo 86 na kufanya uthamini katika maeneo 13, na kuwa zoezi la upimaji unaendelea katika maeneo 66, ikiwa mpango huo ni wa miaka mitatu, lakini alidai kuwa baadhi ya wabunge wamekuwa wakimfuata kuhusu suala la aina hiyo, ambapo alitimia nafasi hiyo mbele ya Bunge kuomba uvumilivu wakati wakikamirisha michakato hiyo.
Naona maelezo yana mkanganyiko mkubwa, hayaeleweki.

Main facts kuhusu kiini Cha kuwepo Mgogoro huo hasa ni Nini???
What is the Locus of the case????
Je, wahusika mnaweza kuweka details zote za Kesi hizo hapa jukwaani ili nasi tujue undani wa tatizo hilo???
Je, Kesi husika zilisajiliwa kwa Namba zipi huko Mahakamani????
 
Siyo kila sehemu mnapeleka siasa, wamevamia eneo jeshi halafu wanataka waonewe huruma wamegewe hilo eneo. Ondokeni mrudi mlikotoka.
 
Naona maelezo yana mkanganyiko mkubwa, hayaeleweki.

Main facts kuhusu kiini Cha kuwepo Mgogoro huo hasa ni Nini???
What is the Locus of the case????
Je, wahusika mnaweza kuweka details zote za Kesi hizo hapa jukwaani ili nasi tujue undani wa tatizo hilo???
Je, Kesi husika zilisajiliwa kwa Namba zipi huko Mahakamani????
 
Hii nchi bado ni masikini sana, sasa hapo ni nyumba zimebomolewa au mabanda?
Halafu eti tulikua uchumi wa kati
 
Back
Top Bottom