The Richest Man In Tz
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,244
- 3,864
Ndugu zangu wana JF, ni matumaini yangu mko sawa kabisa.
Rejea kichwa cha mada chahusika.
Hawa majirani zetu walitamani sana Hayati JPM angekuwa Rais wao enzi za uhai wake.
Binafsi naona kama maombi yao yamejibiwa na Mungu kawajalia kumpata William Samoei Ruto, ambaye ana sifa karibia sawa kabisa na zile alizokuwa Hayati Rais wa Tanzania, Magufuli.
Ombi langu kwa Wakenya ni kuhakikisha wanamlida sana Rais wao ili asije kuwaacha mapema wangali wakimhitaji sana!