joto la jiwe JF-Expert Member Sep 4, 2017 26,117 46,616 Mar 3, 2019 #1 My take: Rushwa ikizagaa nchi nzima, hakuna eneo litakalobali salama. KDF wanauza mkaa na Sukari chafu huko Somalia wakati Alshabab wanashambua ndani ya Kenya. Sent using Jamii Forums mobile app
My take: Rushwa ikizagaa nchi nzima, hakuna eneo litakalobali salama. KDF wanauza mkaa na Sukari chafu huko Somalia wakati Alshabab wanashambua ndani ya Kenya. Sent using Jamii Forums mobile app
mwaswast JF-Expert Member May 12, 2014 12,780 6,463 Mar 3, 2019 #2 joto la jiwe vipi hujaleta picha za Tazara bridge pale DARSLUM kufurika maji leo??