Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,356
- 26,517
Yanayoendelea kwenu si ya kufurahisha na hata wanoshabikia hawaelewi mateso yanayowapata baadhi ya wakenya.
Msiivuruge nchi yenu tafadhali.
Ilindeni amani yenu na tatueni matatizo yenu kwa amani.
Vijana Gen Z, waombwe watuulie wakati wazee toka kila kabila la Kenya, iwe Wajaluo, Wakikuyu, Wakalenjin, Wamasai, Wakamba. Wameru na Waturkana na wenzangu na mie Wadigo wa Mombasa, wazee wao wakusanyike wakati huu na kuwapoza vijana.
Amani ya Kenya ndio amani ya Tanzania.
Tunawaombea Wakenya.