Kama waki change PROXY Tanznia yaweza tumia hapo VIA zanzibarNchi ya Kenya inajihusisha na vita Somalia ambayo haiwahusu, hii ni proxy war yaani Wakenya wanapigana vita kwa niaba ya Wazungu na haina maslahi yoyote yale kwa nchi ya Kenya!
Acheni kutumiwa na Wazungu kwa maana gharama mnayolipa mpaka leo hii ni kubwa sana hivi juzi hapa ingawaje Serikali yenu haisemi ukweli lkn Wanajeshi walioliwa na Somalia wanafikia 100 sasa hii ni namba kubwa kwa lipi hasa?
Mnafaidika nini na Somalia zaidi tu ya kujenga uadui wa kudumu? Msisahau kwamba mna raia wengi sana wenye asili ya Somalia na wanafedha mpaka leo hii wanamiliki sehemu kubwa tu ya uchumi wa Kenya na hawa wote hawako upande wa Kenya kisiasa bali wa Somalia!
Hivyo narudia tena ondoeni Majeshi Somalia na muache kutumiwa na Wazungu, nimesikia Waziri Mkuu wa Uingereza anakuja Kenya ingawaje wengi mtadanganywa sababu ya safari yake lkn kilicho nyuma hasa ya hii safari ni kuishawishi Kenya iendelee kubakia Somalia na kupigana vita kwa ajili ya Uingereza, acheni hizo waambieni Wazungu waje wapigane vita yao wenyewe na siyo kuwatumia ninyi, hawa askari 100 waliokufa walipaswa wawe Wazungu na siyo Wakenya!
Falsafa ya vita,hakuna mshindi.....Ila anayefaidika ni yule anayemuuzieni swilakhaHatuondoi majeshi,Tutapigana na hawa jambaZi
unapoanzisha hoja fanya utafiti kwanza usituletee stori za vijiwe vya sinza hapa JF. wengine tunatimam zetu eti!Nchi ya Kenya inajihusisha na vita Somalia ambayo haiwahusu, hii ni proxy war yaani Wakenya wanapigana vita kwa niaba ya Wazungu na haina maslahi yoyote yale kwa nchi ya Kenya!
Acheni kutumiwa na Wazungu kwa maana gharama mnayolipa mpaka leo hii ni kubwa sana hivi juzi hapa ingawaje Serikali yenu haisemi ukweli lkn Wanajeshi walioliwa na Somalia wanafikia 100 sasa hii ni namba kubwa kwa lipi hasa?
Mnafaidika nini na Somalia zaidi tu ya kujenga uadui wa kudumu? Msisahau kwamba mna raia wengi sana wenye asili ya Somalia na wanafedha mpaka leo hii wanamiliki sehemu kubwa tu ya uchumi wa Kenya na hawa wote hawako upande wa Kenya kisiasa bali wa Somalia!
Hivyo narudia tena ondoeni Majeshi Somalia na muache kutumiwa na Wazungu, nimesikia Waziri Mkuu wa Uingereza anakuja Kenya ingawaje wengi mtadanganywa sababu ya safari yake lkn kilicho nyuma hasa ya hii safari ni kuishawishi Kenya iendelee kubakia Somalia na kupigana vita kwa ajili ya Uingereza, acheni hizo waambieni Wazungu waje wapigane vita yao wenyewe na siyo kuwatumia ninyi, hawa askari 100 waliokufa walipaswa wawe Wazungu na siyo Wakenya!
Nchi ya Kenya inajihusisha na vita Somalia ambayo haiwahusu, hii ni proxy war yaani Wakenya wanapigana vita kwa niaba ya Wazungu na haina maslahi yoyote yale kwa nchi ya Kenya!

Wewe ni mpuuzi, toa utaahira wako wa Lumumba hapa Pumbavu wewe, Kenya ni taifa huru lenye serikali yake kamili, huna unalolijua pusi wewe, nani kukudanganya kuwa kenya inatumika? unatia hasira Sana kujifanya Unajua mambo mei wakati ni Zero brain, faizafoxy ni mwislamu hmwenyewe itikadi Kali, ndo maana anasapoti topic yako ya kijuha, faizafoxy anawaunga mkono magaidi wote wa, Alqaeda, Boko Haram, ISIS, na alshababu, Kenya ilichokozwa, magaidi ya alshabab walikuwa wanavuka mpaka na kuingia Kenya na kuteka watalii pamoja na mauaji, sasa ulitaka kenya wakae kimya? wameamua kupigana kiume, unainuka mjinga Kama wewe unasema eti Kenya inatumiwa, siyo umekera Sana, unafikiria Kwa mat**ko Badala ya kichwa, shwaini kabisa, watu wakijihami eti wanatumiwa, funga bakuli lako, nenda ukale ugali wa bure Lumumba huna unalolijua wewe hapa, zero brain.
Wewe ni mpuuzi, toa utaahira wako wa Lumumba hapa Pumbavu wewe, Kenya ni taifa huru lenye serikali yake kamili, huna unalolijua pusi wewe, nani kukudanganya kuwa kenya inatumika? unatia hasira Sana kujifanya Unajua mambo mengi wakati ni Zero brain, faizafoxy ni mwislamu mwenyewe itikadi Kali, ndo maana anasapoti topic yako ya kijuha, faizafoxy anawaunga mkono magaidi wote wa, Alqaeda, Boko Haram, ISIS, na alshababu, Kenya ilichokozwa, magaidi ya alshabab walikuwa wanavuka mpaka na kuingia Kenya na kuteka watalii pamoja na mauaji, sasa ulitaka kenya wakae kimya? wameamua kupigana kiume, unainuka mjinga Kama wewe unasema eti Kenya inatumiwa, siyo umekera Sana, unafikiria Kwa mat**ko Badala ya kichwa, shwaini kabisa, watu wakijihami eti wanatumiwa, funga bakuli lako, nenda ukale ugali wa bure Lumumba huna unalolijua wewe hapa, zero brain.
Hapo ndipo ndugu umeseme ukweli kabisa hawa wote magaidi supporters.kina foxy geza na moto na pia hili jitu liloandika huu upuzi.
TUNAWAHURUMIA MSIENDELEE KUBONDWA
we mwehu nni..kwenye vita lazima casualties.wengine tulipoteza relatives hapa and dont think for a second we will let their deaths go in vain ata kama tutakufa sote kenya nzima.msikae mkaandika ujinga na hayajawapata so pliz nxt time you talk shit ...think firstTUNAWAHURUMIA MSIENDELEE KUBONDWA
Safi kabisa kaka hawa majangili wanaona ugaidi ni kitu chaku shabikia.siku watapata kipigo ndio watajua vizuri.we mwehu nni..kwenye vita lazima casualties.wengine tulipoteza relatives hapa and dont think for a second we will let their deaths go in vain ata kama tutakufa sote kenya nzima.msikae mkaandika ujinga na hayajawapata so pliz nxt time you talk shit ...think first
Wewe ni mpuuzi, toa utaahira wako wa Lumumba hapa Pumbavu wewe, Kenya ni taifa huru lenye serikali yake kamili, huna unalolijua pusi wewe, nani kukudanganya kuwa kenya inatumika? unatia hasira Sana kujifanya Unajua mambo mengi wakati ni Zero brain, faizafoxy ni mwislamu mwenyewe itikadi Kali, ndo maana anasapoti topic yako ya kijuha, faizafoxy anawaunga mkono magaidi wote wa, Alqaeda, Boko Haram, ISIS, na alshababu, Kenya ilichokozwa, magaidi ya alshabab walikuwa wanavuka mpaka na kuingia Kenya na kuteka watalii pamoja na mauaji, sasa ulitaka kenya wakae kimya? wameamua kupigana kiume, unainuka mjinga Kama wewe unasema eti Kenya inatumiwa, siyo umekera Sana, unafikiria Kwa mat**ko Badala ya kichwa, shwaini kabisa, watu wakijihami eti wanatumiwa, funga bakuli lako, nenda ukale ugali wa bure Lumumba huna unalolijua wewe hapa, zero brain.
LAKINI CHA MOTO MNAKIONA KWA KUJITAKIAwe mwehu nni..kwenye vita lazima casualties.wengine tulipoteza relatives hapa and dont think for a second we will let their deaths go in vain ata kama tutakufa sote kenya nzima.msikae mkaandika ujinga na hayajawapata so pliz nxt time you talk shit ...think first
Nchi ya Kenya inajihusisha na vita Somalia ambayo haiwahusu, hii ni proxy war yaani Wakenya wanapigana vita kwa niaba ya Wazungu na haina maslahi yoyote yale kwa nchi ya Kenya!
Acheni kutumiwa na Wazungu kwa maana gharama mnayolipa mpaka leo hii ni kubwa sana hivi juzi hapa ingawaje Serikali yenu haisemi ukweli lkn Wanajeshi walioliwa na Somalia wanafikia 100 sasa hii ni namba kubwa kwa lipi hasa?
Mnafaidika nini na Somalia zaidi tu ya kujenga uadui wa kudumu? Msisahau kwamba mna raia wengi sana wenye asili ya Somalia na wanafedha mpaka leo hii wanamiliki sehemu kubwa tu ya uchumi wa Kenya na hawa wote hawako upande wa Kenya kisiasa bali wa Somalia!
Hivyo narudia tena ondoeni Majeshi Somalia na muache kutumiwa na Wazungu, nimesikia Waziri Mkuu wa Uingereza anakuja Kenya ingawaje wengi mtadanganywa sababu ya safari yake lkn kilicho nyuma hasa ya hii safari ni kuishawishi Kenya iendelee kubakia Somalia na kupigana vita kwa ajili ya Uingereza, acheni hizo waambieni Wazungu waje wapigane vita yao wenyewe na siyo kuwatumia ninyi, hawa askari 100 waliokufa walipaswa wawe Wazungu na siyo Wakenya!
Ndugu yangu mimi ni Mtanzania. Ila katika hili naomba niseme "jali yako". Au kwa kikongo "Kipe yayo" Na kwa kizungu "Mind your business".
Kenya hawajaomba msaada wowote Tanzania kuhusu hiyo vita. Na wana sababu za msingi za kupigana hiyo vita. So as Tanzanians let us mind our business.