KERO Wakazi wa Morogoro Mkuyuni umeme unakatwa mara nyingi kwa wakati mmoja kila siku, tumechoka kuunguliwa vitu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne.

Mmeshatuunguzia vitu hadi imetosha sasa, yaani inakuwa kero. Ni service gani mnafanya kila siku muda ule ule unaokaribiana?

Kuna vitu havihitaji kuzimiwa umeme ghafla na kurudisha, maana kila mkikata hata sekunde tano hazipiti mmerudisha.

Tafadhali oneeni huruma jasho letu.
 
Back
Top Bottom