Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,113
- 3,141
Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi.
Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba.
Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika, solution watu wameamua wachimbe visima na kuachana na maji ya DAWASA.
Soma Pia: KERO - Wakazi wa Kinyerezi hatuna maji leo siku ya 3
Soma Pia: KERO - Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi