Wakazi wa kata ya Zuzu Dodoma kuandamaba wabadilishiwe jina la kata yao

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,539
50,625
Duniani kuna mamboz,wakazi wa kata ya Zuzu iliyopo Manispaa ya Dodoma wanakusudia kuandamana kumshinimiza waziri wa TAMISEMI abadiil jina la kata yao.

Hii si mara ya kwanza kuomba kubadilishiwa jina,waliwahi kufanya hivyo wakagonga mwamba,waziri TAMISEMI kipindi hicho aliwaambia Rais hajaridhia ombi lao.

Diwani wa kata ya Zuzu amekuwa akitaniwa na Madiwani wenzake kumuita Zuzu.

Wasichokijua huko Zanzibar kuna majina yenye ukakasi kuliko hilo na hakuna anayelalamika.
 
Kwani uwongo kwamba Watu wa huko ni ma-Zuzu?
 
Hicho Kijiji kitakuwa chanzo cha hospital ya Milembe bila shaka
 
Na "kata" wataikubali? Hata hivyo jina huwa halina tafsiri popote pale duniani na wakikubaliwa Tanga nao watataka jina libadilishwe tutabski na wale wenye kigoma cha walozi.
 
Lile soko maarufu huko Bukoba hivi bado jina ni lile lile? πŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Hao mazuzu kweli πŸ˜€ ila haya majina yana asili yake na maama yale kutoka kwa mababu zetu, wenyewe wanajua kwaninj walipaita hivyo kujaribu kubadilisha ni kujitafutia majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…