Wakazi wa Dodoma, Huyo Chiba wa Yamoto awe fundisho kwenu muache kuja mjini kuomba omba

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,944
2,030
Nadhani mmemuona mtu ambaye ni mlemavu akijishughulisha kwa kuamua kujitafutia riziki .lakini nyie ndugu zetu wa kati kati ya nchi mnapenda kuja huku mjini kuja kuombaomba wakati utakuta mna uwezo wa kujishughulisha.

Embu itumieni sikukuu hii ya muungano kubadilisha style ya kuomba omba na muanze kujishughulisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…