Kuelekea 2025 Tetesi: Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Rula ya Mafisadi

Senior Member
Dec 28, 2024
191
382
Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa.

Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
IMG-20241231-WA0200.jpg
 
Back
Top Bottom