kwamtoro JF-Expert Member Nov 15, 2010 4,922 3,236 May 18, 2016 #1 Wamebakia kufunua makabrasha kushindania yaliyopita. Wa kimataifa aka Young African wanazidi kufyanza mambo. Mimi kwamtoro Mwanachama na mpenzi wa coast union ya Tanga
Wamebakia kufunua makabrasha kushindania yaliyopita. Wa kimataifa aka Young African wanazidi kufyanza mambo. Mimi kwamtoro Mwanachama na mpenzi wa coast union ya Tanga
M Mbojo JF-Expert Member May 31, 2011 1,589 1,301 May 19, 2016 #2 Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro.
Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro.
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,894 36,211 May 19, 2016 #3 Masikini akipata....makalio hulia mbwata.....
Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 30,745 12,652 May 19, 2016 #5 Mbojo said: Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro. Click to expand... usilie lie mjomba....
Mbojo said: Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro. Click to expand... usilie lie mjomba....
M Mbojo JF-Expert Member May 31, 2011 1,589 1,301 May 19, 2016 #6 Hakuna anaelia we ulimakafu,Yanga bado sana,mnatoa matusi as if ubingwa wa CAF mtaupata.umevimbiwa unaanza kudai unakitambi!
Hakuna anaelia we ulimakafu,Yanga bado sana,mnatoa matusi as if ubingwa wa CAF mtaupata.umevimbiwa unaanza kudai unakitambi!