crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,414
- 3,394
Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel.
wote wanakubali existence ya Israel kitu ambacho Palestine hawakitambui na ni haram kwao. And I guess that is why they are fighting.
urusi alikuwa supplier mkubwa wa zana za kivita na msaada wa kijeshi kwa waarabu katika Vita vyao dhidi ya Israel. Tunaweza sema Kama ni Vita kati ya urusi na marekani hapo Israel(Kama walivyozoea kupigana kwenye nchi za watu) basi tunaweza sema kuwa marekani alishinda kwani dhamira ya waarabu kuifuta Israel katika uso wa dunia haikufanikiwa.
Wote Wana diplomatic relations na Israel na wameingia nae mikataba mbalimbali ya kijeshi,kiuchumi,n.k
Hivyo Wakati tukisikia kauli mbalimbali kutoka kwao kwa Wakati huu,tukumbuke kuwa actions speak louder than words.
Tunaweza sema in today's world, Palestine wanapambana peke yao kupambania kile wanachokiamini Ni haki yao bila kuogopa dhidi ya linalotajwa kuwa very advanced and supported army.
Basi na waafrika tujifunze toka kwao,hakuna atakaye kuja tatua matatizo yetu ,si urusi, West au China tunazoshinda tunashabikia humu Kama Simba na yanga Bali sisi wenyewe.