Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,070
- 151,323
Wakati sisi tukiendelea na utaratibu wa kikatiba wa kutoa kinga kwa raisi kutoshikiwa popote,waziri mkuu wa zamani wa Israel,Ehud Olmert amehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi 18 kwa kosa la rushwa.
Olmert, alikuwa waziri mkuu wa Israeli kati ya mwaka 2006 mpaka mwaka 2009 na alitenda kosa hilo alipokuwa Mayor wa Jiji la Jerusalem.
Watanzania tuna kubwa la kujifunza hapa ingawa hili swala nadiriki kusema halipewi umuhimu hata na wapinzani.
Sifa yetu kubwa ni kulalamika tu tena kwa kufuata matukio na tukio likipita tunasahau tunangoja liibuke lingine.
Mtanisamehe huu ndio ukweli kuhusu sisi wabongo.
Itakuwa vyema mkuu Kama walituibia waende tu hukoTukiondoa kinga hakuta kua na Rais mstafu mtaani.. wote watapanga vyumba huko segerea
mkuu kubadilisha mambo yanayowabana viongozi walioko madarakani.unahitaji kiongozi asiye dikteta na awe msafi! kuliweka hilo kwenye katiba inakuwa Tanzi kwa maraisi wote watakao tawala.mpaka.sasa hatujapata Raisi atakayekubali kufanya hilo.kumbuka kwa nchi zetu za kiafrika madaraka na mamlaka yote yanakuwa mikononi mwa Rais na chama chake sio wananchi.Wakati sisi tukiendelea na utaratibu wa kikatiba wa kutoa kinga kwa raisi kutoshikiwa popote,waziri mkuu wa zamani wa Israel,Ehud Olmert amehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi 18 kwa kosa la rushwa.
Olmert, alikuwa waziri mkuu wa Israeli kati ya mwaka 2006 mpaka mwaka 2009 na alitenda kosa hilo alipokuwa Mayor wa Jiji la Jerusalem.
Watanzania tuna kubwa la kujifunza hapa ingawa hili swala nadiriki kusema halipewi umuhimu hata na wapinzani.
Sifa yetu kubwa ni kulalamika tu tena kwa kufuata matukio na tukio likipita tunasahau tunangoja liibuke lingine.
Mtanisamehe huu ndio ukweli kuhusu sisi wabongo.
Ni zaidi ya laana!!Halafu sijui kwanini wanakwepa hii kitu, sie watu weusi tuna laana
mkuu kubadilisha mambo yanayowabana viongozi walioko madarakani.unahitaji kiongozi asiye dikteta na awe msafi! kuliweka hilo kwenye katiba inakuwa Tanzi kwa maraisi wote watakao tawala.mpaka.sasa hatujapata Raisi atakayekubali kufanya hilo.kumbuka kwa nchi zetu za kiafrika madaraka na mamlaka yote yanakuwa mikononi mwa Rais na chama chake sio wananchi.
Cha ajabu hata katiba ya Warioba hili jambo walilipa kisogo.Wapinzani nao hawalipi umuhimu na hata vyombo vya habari nao hawana habari nalo.Huku kwenye mitandao nako hatuna habari na jambo hili.Cha ajabu itokee tuhuma kuhusu raisi utaona mihemiko karibu kila mahali.Kwa kifupi niseme sisi ni watu wa ajabu sana kupata kuishi katika hii sayari!mkuu kubadilisha mambo yanayowabana viongozi walioko madarakani.unahitaji kiongozi asiye dikteta na awe msafi! kuliweka hilo kwenye katiba inakuwa Tanzi kwa maraisi wote watakao tawala.mpaka.sasa hatujapata Raisi atakayekubali kufanya hilo.kumbuka kwa nchi zetu za kiafrika madaraka na mamlaka yote yanakuwa mikononi mwa Rais na chama chake sio wananchi.
Mungu aliwapendelea sana wazungu, japo amesema hana upendeleo lkn hapanaC
Ni zaidi ya laana!!
Mungu aliwapendelea sana wazungu, japo amesema hana upendeleo lkn hapana