The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,424
- 10,909
Nchi ya Senegal imeanza uzalishaji wa Mafuta ghafi Kwa mara ya kwanza ambapo itaanza na mapipa 100,000 Kwa siku Kupitia Kampuni ya Australia.
Visima vya Mafuta vilivyopo ndani ya Bahati(kama gesi ya Lindi) vitaanza uzalishaji na kufungua ukurasa Mpya wa Maendeleo Nchink humo,ulisema taarifa ya Serikali Kupitia Rais wao na kwamba Fedha zitakazopatikana zitatumika vyema.
Kwa mujibu wa mgawanyo, Serikali ya Senegal Kupitia Kampuni ya Serikali itaoata asilimia 18% na Wawekezaji watapata asilimia 72%.
Kwa Upande wa Tanzania,halinimekuwa tofauti linapokuja Suala la uwekezaji wa Mradi wa Gesi huko Lindi Mafanikio ya Senegal yanatokea wakati mradi wa gesi wa Lindi Ukiwa ume stack kufuatia Timu ya Majadiliano ya Serikali ya Tanzania kuja na mambo mapya Kila siku na milolongo isiyoisha Hadi wawekezaji wametishia kujitoa.
View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1800860583895388576?t=4TD4siDvz6On0tyZk2WqRg&s=19
My Take
Kukumbatia Mentality za Kijamaa ni sawa na kukumbatia umaskini.Maneno mengi sana Hadi yanakera.
Yaani Mwekezaji afanye Utafiti,aweke mtaji,aweke takenolojia na atafute soko afu mje Kugawana Kwa uwiano sawa? Hakuna Mwekezaji mpumbavu atafanga huo ujinga.
Kama Tanzania tunataka kufanikiwa kwenye Dunia ya ushindani tuondoke kwenye mgado wa akili za kijamaa na kupunguza mdomo.Haiingii akilini kukwamisha mradi wa Trilioni 108 Kwa sababu zisizo na msingi,Kila Mwekezaji tunamuita ni Mwizi ,hii haitufikishi popote Mali zinapatikana na kwingine watasepa huko na kutuacha na umaskini Wetu wa akili na Mali.
Pia soma hapa Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato Isiyoisha. Ulitarajiwa Kuwa Legacy ya Samia
Soma hapa Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa
Danadana zinaendelea Mwanasheria Mkuu wa Serikali 'aweka ngumu' Makubaliano baina ya Timu ya Serikali na Wawekezaji wa Mradi wa Gesi wa Lindi. Ataka warudi mezani
Wenye akili wameanza Kama Mozambique yenye Reserve kubwa ya Gesi Asilimia Imeanza Kuuza LNG Nje ya Nchi. Je, Mradi wa Lindi LNG Utatekelezeka na Gesi yetu Kiduchu?