BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,124
- 10,923
Kama kuna kitu CCM wanajivunia nacho kwa sasa ni kuweza kuwaingiza mamilion ya wajinga wa hii nchi kwenye mfumo wao wa Yanga na Simba. Haya ni mafanikio makubwa kabisa ya Serikali ya CCM ya wakati wote tangu Nchu kuasisiwa.
Kwa sasa hata nchi inavyo pigwa hakuna mtu anajadili make wajinga wako busy na Yanga na Simba.
Hakika haya ni mafanikio makubwa sana ya CCM, na hii itawasiaidia sana CCM kutawalaake wajinga hakuna kitu kingine wajadili, Wajinga hawajadili life ngumu,ukosefu wa ajira na kadhalika, wanajadili Yanga na Simba.
KWa sasa Democrasia inabakwa huko Serikali za mitaa, ila wajinga wa hii nchi wako Busy na Yanga na Simba.
CCM Wanatengeneza mifumo yao ya kuendelea kutafuna nchi.
Msumbiji vijana wanapigani nchi yao huku wajinga waki busy na Yanga na Simba na wanataka Jaji Warioba ndio apiganie Democrasia.