Huu mchezo hauitaji hasira....
Nadhani aliyezichanga na kugawa karata hakujua ni mchezo gani unachezwa.
Sasa kajijuta kagawa jokers zote na yeye kabaki na garasha, alafu game ni "Last card"
Mungu irehemu nchi yangu Tanzania, sipendi kuziona zile manohari za Mangharibi katika fukwe na bandari zetu. Bali napenda kuziona Meli za mizigo zikitia nanga.
Time will tell