Wakali wa soka nchini ARGENTINA na bara la AMERIKA YA KUSINI kati ya BOCA JUNIORS NICKNAME-LA BOMBONERA
_____________na________________
CLUB ATLETICO RIVER PLATE NICKNAME-
Los Millonarios (The Millionaires) La Banda (The Strip) El Campeón del Siglo XX (The Champions of the 20th Century) El Mas Grande (The Greatest One)
Wameumana ambapo BOCA JUNIORS kapigwa 3 by 1 nyumbani kwao LA BOMBONERA na mtani wake RIVER PLATE
Wafungaji ni
Upande wa RIVER PLATE
Gonzalo Martinez
Lucas Alario
Sebastian Driusi
Kwa upande wa BOCA
Fernando Gago
Msimamo katika ligi zao BOCA bado anaendelea kuongoza
BOCA JUNIORS points 49 SAN LORENZO points 46 RIVER PLATE points 45 NEWELLS OLD BOYS points 45 BANFIELD points 45
Ila una habari Hispania watani wa jadi walikuwa ni Real Madrid na Antletico Madrid. Sema kuna kipindi hawa jamaa walishuka sana kiwango so Barca aka take advantage.
Ila una habari Hispania watani wa jadi walikuwa ni Real Madrid na Antletico Madrid. Sema kuna kipindi hawa jamaa walishuka sana kiwango so Barca aka take advantage.