Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,267
- 120,663
Wanabodi,
Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora.
Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, na kupatikana kwake ni kutokana na kutokuwepo kwa uchambuzi yakinifu kabla. Wakati JYN alipoomba uspika, mimi ni mmoja wa wana JF niliotoa angalizo hili Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!, angalizo hilo halikusaidia kitu, tukaishia kupata Bora Spika.
Kujiuzulu kwa Spika JYN, ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuibadili Tanzania, alianzia kule juu, na sasa ni kwenye huu mhimili wa pili
Baada ya Watia nia wa Uspika kupitia CCM kufikia 70, miongoni mwao kuna the best of the best atayekuwa Spika Bora, ila tukubali tukatae, atakayechaguliwa ni lazima awe mtu mmoja tuu, na kwa vile huko nyuma CCM imeisha wahi kutuchagulia Bora Spika, CCM isiposaidiwa kumbaini Spika Bora, then wanaweza kutuletea tena Bora Spika, hivyo ni jukumu la sisi Media kum highlight Spika Bora, ili hata ikitokea CCM wametuelia Bora Spika, ni wao, sisi kama media, tutakuwa tumetimiza wajibu wetu.
Kwa kuanzia naomba kwanza tuwagawe 70 kwenye makundi makundi kwasababu sio kweli kuwa wote hao 70 waliojitokeza, ni wote wanautaka usipika, miongoni mwao, wapo watu wanajijua kabisa, hawana uwezo hata chembe hata chembe, hata kuwa balozi tuu wa nyumba 10, hawawezi lakini kwenye usipika wamejitokeza, nia yao sio kutaka uspika bali ni kupush tuu CV zao kwenye ngazi za uamuzi ili kuonyesha na wao wapo, na wafikiriwe kwa uteuzi wowote.
Makundi hayo ni
Tukianzia kwa Spika Pius Msekwa alikuwa ni naibu Spika wa Chief Adam Sapi Mkwawa, na hakuwahi kupingwa hadi alipoamua mwenyewe Uspika basi. Msekwa vivyo hivyo aliendelea kugombea bila kupingwa hadi Spika Sitta alipotibua.
Toka Spika Sitta, ukaanza utaratibu wa 1 term Speakeship, kwa Naibu Spika kuwa Spika. Makinda alikuwa naibu Spika wa Sitta, Ndugai alikuwa Naibu Spika wa Makinda, hivyo sasa ilitegemewa Dr. Tulia ndio Spika ajae, tena hata mimi niliwahi kuisikia hii sauti kumhusu Dr. Tulia,
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... hili likifanyika, tunakwenda kupata Bora Spika mwingine!.
Je, Tunataka Spika wa Aina Gani Atakayeweza Kufanya Nini?.
Bunge la JYN ndilo Bunge dhaifu kuliko mabunge yote, lilikuwa ni Bunge butu hakuna mfano!.
Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?, tunataka Spika atakayeongoza Bunge lenye meno!.
Bunge ndilo Bunge lililoongoza kwa kujipendekeza kwa serikali, Bunge butu linaloingiliwa na kunyamaza, linapojikomba na kujipendekeza kwa Rais, linaweza kweli kuisimamia Serikali?!
Bunge hili ndilo Bunge la ajabu kabisa, lilifikia hadi hatua ya kupitisha azimio batili, Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?. Waheshimiwa wetu, hawakujua kuwa wanapitisha azimio batili kutokana na kuongozwa na Bora Spika, tena ni mimi niliowashtua waheshimiwa wabunge wetu, matokeo ya kupitisha azimio hilo batili... Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba ndipo wakalipuuzia azimio lao batili kimya kimya, ila mpaka hii leo, hata baada ya kuujua ubatili huo, Bunge limenyamaza kimya, hadi leo ubatili huo bado uko kwenye hansard za Bunge, tunataka Spika ambaye hata ruhusu ubatili wa aina hii kwenye mhimili wetu wa kutunga sheria!.
Japo Tanzania ni nchi yenye katiba, na tuna mihimili mitatu ya Bunge, Serikali na Mahakama. Katiba ni mali ya wananchi, hivyo Bunge ndio inapaswa kuwa Mhimili muhimu zaidi kwasababu wabunge ndio wawakilishi wa wananchi wale wenye katiba yao.
Tanzania tulitawaliwa na Uingereza, hivyo mfumo wa Bunge letu ni mfumo unaoitwa Westminster Style, ambapo Bunge ndilo supremacy kuisimamia serikali. Mkuu wa serikali ni Waziri Mkuu, anawajibika kwa Bunge.
Tanganyika baada ya kupata uhuru ile Desemba 9, 1961, Desemba 9 1962 Tanzania ikawa Jamuhuri, Waziri Mkuu wa wakati huo Julius Nyerere, akajiuzulu Uwaziri Mkuu, na tukaanzisha mfumo wa Kimarekani wa Presidential Style, na kuanzisha Executive President, hivyo President wa Tanzania ndio kila kitu, Bunge na Mahakama vyote viko chini yake!. Tunataka Spika atakaweza kuirekebisha hali hii kwa Bunge kuchukua nafasi yake ya kuisimamia serikali. Mkuu wa The Executive atateua tuu viongozi wakuu, lakini lazima waidhinishwe na Bunge!.
Tunataka Spika wa kurudisha heshima ya Bunge.
Kati ya wote walioomba kugombea Uspika, mimi namuona ni mtu mmoja tuu mwenye boldness ya kuleta mageuzi haya na simuoni mwingine yoyote zaidi yake!.
Wagombea nilio bahatika kuwajua ni hawa (mtu mwenye list ya wote 70, anisaidie)
Kundi la Pili: Top 6 Ambao Watatoa Spika Bora
Sasa kwa vile Nafasi inayogombewa ni 1 tuu, na kwenye lile kundi la 1, kila mmoja wake, mimi niliwahi kumuandikia kitu humu, hebu jijikumbushe niliwahi kusema nini kuhusu watu hawa, na based on hiki nilicho kisema, angalia mwenyewe, nani kati ya hawa, anaweza kutupatia Spika Bora?.
1. Dr. Tulia Akson-
2. Andrew Chenge
3. Azzan Zungu
4. Steven Masele.
Hivyo mimi kama mwana jf na mwana habari, nimetimiza wajibu wangu, kazi ni CCM kututeulia jina la Spika aBora, ila hata ikitokea CCM ikatuletea tena Bra Spika kama kawaida yake, tutampatia ushirikiano wa kutosha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Update
Wanabodi,
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Leo asubuhi nilipandisha bandiko hili
Kwenye Bandiko hili, nilipendekeza
Kundi la Kwanza: The Top 6 Wanao Tajwa Tajwa Sana
Sasa kumekucha!.
Tetezi toka deep inside CCM, CC, Majina matatu yaliyopitishwa ni
Sasa kazi iliyobaki ni kwa Wabunge wa CCM, kutuchagulia mmoja. Kama Wabunge wa CCM wataweka uchama pembeni na kutanguliza maslahi ya taifa mbele, then, watachuchagulia Spika Bora, na kama wakiamua kutuchagulia Spika Bora, then huyo Bora Spika kwenye list hiyo atapata fursa ya kuwa Spika Bora 2025. Ukifanya kazi chini ya Bora Spika, you are likely kuwa Bora Spika, na ukifanya kazi chini ya Spika Bora, you are likely kuwa Spika Bora!.
Inapotokea vita kubwa kati ya Spika Bora na Bora Spika, hapo ndipo the underdog anapoibukia. Kuliko kumchagua Spika Bora mwenye makandokando, au kuchagua Bora Spika asiye na uwezo, wanaweza kumchagua mtu neutral, hivyo msindikizaji ndio akaibuka kidedea!.
Mimi naendelea kuwasisitiza wabunge wa CCM, kuzingatia sana hili
Kazi Iendelee!.
Paskali
Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora.
Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, na kupatikana kwake ni kutokana na kutokuwepo kwa uchambuzi yakinifu kabla. Wakati JYN alipoomba uspika, mimi ni mmoja wa wana JF niliotoa angalizo hili Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!, angalizo hilo halikusaidia kitu, tukaishia kupata Bora Spika.
Kujiuzulu kwa Spika JYN, ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuibadili Tanzania, alianzia kule juu, na sasa ni kwenye huu mhimili wa pili
Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
www.jamiiforums.com
Baada ya Watia nia wa Uspika kupitia CCM kufikia 70, miongoni mwao kuna the best of the best atayekuwa Spika Bora, ila tukubali tukatae, atakayechaguliwa ni lazima awe mtu mmoja tuu, na kwa vile huko nyuma CCM imeisha wahi kutuchagulia Bora Spika, CCM isiposaidiwa kumbaini Spika Bora, then wanaweza kutuletea tena Bora Spika, hivyo ni jukumu la sisi Media kum highlight Spika Bora, ili hata ikitokea CCM wametuelia Bora Spika, ni wao, sisi kama media, tutakuwa tumetimiza wajibu wetu.
Kwa kuanzia naomba kwanza tuwagawe 70 kwenye makundi makundi kwasababu sio kweli kuwa wote hao 70 waliojitokeza, ni wote wanautaka usipika, miongoni mwao, wapo watu wanajijua kabisa, hawana uwezo hata chembe hata chembe, hata kuwa balozi tuu wa nyumba 10, hawawezi lakini kwenye usipika wamejitokeza, nia yao sio kutaka uspika bali ni kupush tuu CV zao kwenye ngazi za uamuzi ili kuonyesha na wao wapo, na wafikiriwe kwa uteuzi wowote.
Makundi hayo ni
- The Top 5 Wanaotajwa Tajwa Sana
- The Top 5 Most Powerful Wenye Good CV who can make a The Best Speaker
- The Top 5 Most Prominent kutokana na positions zao
- The Top 5 who can make the worst Speaker dictators
- The Top 10 Wanaowania ili tuu kukumbushia na wao wapo ili wakumbukwe
- The Top 5 Waliotangaza nia ya ili kujitambulisha tuu wapo ili angalau nao wakumbukwe
- The Top 5 ya jokers, hawa ni waliotangaza nia ya kuwania uspika just to ku joke tu lakini hawana seriousness yoyote na uspika
- The rest ni wametangaza nia ili tuu ku push CV mbele!.
Tukianzia kwa Spika Pius Msekwa alikuwa ni naibu Spika wa Chief Adam Sapi Mkwawa, na hakuwahi kupingwa hadi alipoamua mwenyewe Uspika basi. Msekwa vivyo hivyo aliendelea kugombea bila kupingwa hadi Spika Sitta alipotibua.
Toka Spika Sitta, ukaanza utaratibu wa 1 term Speakeship, kwa Naibu Spika kuwa Spika. Makinda alikuwa naibu Spika wa Sitta, Ndugai alikuwa Naibu Spika wa Makinda, hivyo sasa ilitegemewa Dr. Tulia ndio Spika ajae, tena hata mimi niliwahi kuisikia hii sauti kumhusu Dr. Tulia,
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... hili likifanyika, tunakwenda kupata Bora Spika mwingine!.
Je, Tunataka Spika wa Aina Gani Atakayeweza Kufanya Nini?.
Bunge la JYN ndilo Bunge dhaifu kuliko mabunge yote, lilikuwa ni Bunge butu hakuna mfano!.
Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?, tunataka Spika atakayeongoza Bunge lenye meno!.
Bunge ndilo Bunge lililoongoza kwa kujipendekeza kwa serikali, Bunge butu linaloingiliwa na kunyamaza, linapojikomba na kujipendekeza kwa Rais, linaweza kweli kuisimamia Serikali?!
Bunge hili ndilo Bunge la ajabu kabisa, lilifikia hadi hatua ya kupitisha azimio batili, Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?. Waheshimiwa wetu, hawakujua kuwa wanapitisha azimio batili kutokana na kuongozwa na Bora Spika, tena ni mimi niliowashtua waheshimiwa wabunge wetu, matokeo ya kupitisha azimio hilo batili... Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba ndipo wakalipuuzia azimio lao batili kimya kimya, ila mpaka hii leo, hata baada ya kuujua ubatili huo, Bunge limenyamaza kimya, hadi leo ubatili huo bado uko kwenye hansard za Bunge, tunataka Spika ambaye hata ruhusu ubatili wa aina hii kwenye mhimili wetu wa kutunga sheria!.
Japo Tanzania ni nchi yenye katiba, na tuna mihimili mitatu ya Bunge, Serikali na Mahakama. Katiba ni mali ya wananchi, hivyo Bunge ndio inapaswa kuwa Mhimili muhimu zaidi kwasababu wabunge ndio wawakilishi wa wananchi wale wenye katiba yao.
Tanzania tulitawaliwa na Uingereza, hivyo mfumo wa Bunge letu ni mfumo unaoitwa Westminster Style, ambapo Bunge ndilo supremacy kuisimamia serikali. Mkuu wa serikali ni Waziri Mkuu, anawajibika kwa Bunge.
Tanganyika baada ya kupata uhuru ile Desemba 9, 1961, Desemba 9 1962 Tanzania ikawa Jamuhuri, Waziri Mkuu wa wakati huo Julius Nyerere, akajiuzulu Uwaziri Mkuu, na tukaanzisha mfumo wa Kimarekani wa Presidential Style, na kuanzisha Executive President, hivyo President wa Tanzania ndio kila kitu, Bunge na Mahakama vyote viko chini yake!. Tunataka Spika atakaweza kuirekebisha hali hii kwa Bunge kuchukua nafasi yake ya kuisimamia serikali. Mkuu wa The Executive atateua tuu viongozi wakuu, lakini lazima waidhinishwe na Bunge!.
Tunataka Spika wa kurudisha heshima ya Bunge.
Kati ya wote walioomba kugombea Uspika, mimi namuona ni mtu mmoja tuu mwenye boldness ya kuleta mageuzi haya na simuoni mwingine yoyote zaidi yake!.
Wagombea nilio bahatika kuwajua ni hawa (mtu mwenye list ya wote 70, anisaidie)
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
- Dr. Tulia Akson - Naibu Spika wa Bunge.
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
- Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
- Dr. Mussa Shafii Ngonyani
- Wakili Faraji Rushagama
- Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
- Hamisi Rajabu
- Festo John Kipate
- Dr. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
- Barua Abdi Mwakilanga : mwanadiplomasia toka Buguruni DSM.
- Zahoro Rashid Hanuna : Afisa Biashara Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
- Thomas David Kirimbunyo
- Angelina Bello John
- Eng. Abdulaziz Jahad Hussein
- Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Mussa Azzan Zungu : meya wa zamani wa Ilala Dsm.
- Joseph Musukuma :
- Ezekiel Maige : waziri wa zamani
- Asia Juma Abdallah : mkuu wa wilaya wa zamani
- Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
- Tumsifu Mwasamale : Afisa Maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma
- Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma
- Goodluck Mlinga : mbunge wa zamani wa CCM
- Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
- Hatibu Madata Mjega :
- Dr. Linda Salekwa Ole Saitabau : mhadhiri chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya na mtafiti wa magonjwa yanayoambukiza na chanjo
- Emmanuel Simon Sindama
- Bi. Uwesu Msumi
- Hilal H. Seif
- Wakili Emmanuel Paul Mngare
- Athumani Mfutakamba
- Wakili Nduruma Majembe
- Mwemba Burton Mwemba : marketing expert and media presenter / msanii Mwijaku
- Henry Erasto Kessy
- Josephat Malima
- Adam Nyanyavanu
- Eng. Stella Manyanya: mkuu wa mkoa wa zamani
- Andrew Kevella
- Luhanga Mpina
- Hussein Migoda Mattaka
- Dr. Godwin Maimu : expert in CAPACITY BUILDING AND MICROFINANCE SERVICES
- Mohammed Ali Mmanga : mgombea ubunge wa zamani
- Esther Stefano Makazi : Kada wa CCM
- Comrade Amos Sollo : Mwanafunzi Chuo Cha Elimu ya Juu
- Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
- Goodluck ole Medeye
- Juma Hamza Chumu
- Baraka Omary Byabato
- Hamidu Chamani : kada wa chama, Mtaalam mbobezi wa masuala ya kodi
- Fikiri Saidi : mkuu wa wilaya wa zamani
- Bi. Dotto Balele Mgasa
- Wakili Onyango Otieno
- Eng. Samuel Hayuma
- Merkion Ndofi
- Abwene Majula
- Patrick Nkandi
- Dr. Edison Wazoel Lubua : Doctor of Philosophy (PhD)Information Systems & Technology
- Alex Msama
- Samwel Magero : mjumbe wa Kamati kuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA),
- Peter Mjemu : mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chato mwaka 202
- Burton Mwemba (Mwinjaku)
- Dr. Emmanuel Nchimbi
- Dr. Tulia Akson- Naibu Spika
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Dr. Emmanuel Nchimbi
- Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
- Mussa Azzan Zungu.
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Dr. Emmanuel Nchimbi
- Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
- Dr. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
- Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma- PHD 7

- Dr. Tulia Akison- Naibu Spika wa sasa
- Mussa Azzan Zungu- mbunge
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
- Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma- PHD 7
- Mussa Azzan Zungu- mbunge
- Dr. Tulia Akison- Naibu Spika wa sasa
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Athumani Mfutakamba
- Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
- Athumani Mfutakamba- Naibu Waziri wa zamani
- Goodluck ole Medeye- Naibu Waziri wa zamani
- Luhaga Mpina
- Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
- Ezekiel Maige : waziri wa zamani
- Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
- Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
- Eng. Stella Manyanya -Naibu Waziri wa zamani
- Eng. Samuel Hayuma- Naibu Waziri wa zamani.
- Dr. Joseph Kasheku Musukuma- Mbunge wa Geita
- Alex Msama- Muandaaji matamasha ya muziki wa Injili.
- Burton Mwemba (Mwinjaku)
- Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
Sasa kwa vile Nafasi inayogombewa ni 1 tuu, na kwenye lile kundi la 1, kila mmoja wake, mimi niliwahi kumuandikia kitu humu, hebu jijikumbushe niliwahi kusema nini kuhusu watu hawa, na based on hiki nilicho kisema, angalia mwenyewe, nani kati ya hawa, anaweza kutupatia Spika Bora?.
1. Dr. Tulia Akson-
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...
www.jamiiforums.com
Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants
Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!. Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi...
www.jamiiforums.com
3. Azzan Zungu
Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!
Wanabodi, Siku Wabunge wa Bunge hili walipokuwa wanaapishwa mjini Dodoma, nilikuwepo, na nilipandisha uzi Huu ambapo kuhusu wabunge wa viti maalum, nilisema hivi!. Kwa muda wote wa uhai wa bunge hili, lazima tukubali, tukatae, baadhi ya waheshimiwa wabunge wetu wa viti maalum, hawajaweza ku...
www.jamiiforums.com
Steven Masele atamkwe Shujaa wa Taifa! Ni kweli Balozi wa Uingereza ni Jasusi. To Hell with...!
Wanabodi, Ile siku Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhre. Stephen Masele, alipomtuhumu Balozi wa Uingereza nchini kwa tuhuma nzito za ujasusi!, nilipandisha uzi huu, Ujasusi wa Balozi wa Uingereza: Tanzania, Can We Stand?!.nikihofia Mhe. Masele kufanywa "kondoo wa kafara!". Baada ya tuhuma...
www.jamiiforums.com
Hivyo mimi kama mwana jf na mwana habari, nimetimiza wajibu wangu, kazi ni CCM kututeulia jina la Spika aBora, ila hata ikitokea CCM ikatuletea tena Bra Spika kama kawaida yake, tutampatia ushirikiano wa kutosha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Update
Wanabodi,
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Leo asubuhi nilipandisha bandiko hili
Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!
Wanabodi, Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora. Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, na kupatikana kwake ni kutokana na kutokuwepo kwa uchambuzi...
www.jamiiforums.com
Kundi la Kwanza: The Top 6 Wanao Tajwa Tajwa Sana
- Dr. Tulia Akson- Naibu Spika
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Dr. Emmanuel Nchimbi
- Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
- Mussa Azzan Zungu.
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Dr. Emmanuel Nchimbi
- Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
- Dr. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
- Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma- PHD 7
Sasa kumekucha!.
Tetezi toka deep inside CCM, CC, Majina matatu yaliyopitishwa ni
- Mtemi Andrew Chenge
- Dr. Tulia Akson
- Dr. Thomas Kashilila.