Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 27,340
- 65,831
JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?
Anaandika, Robert Heriel.
Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa, mashuhuri na mwenye ushawishi. Sitazungumzia kuhusu kuwa anampenda Kajala au Laah! Hilo ni juu Yao.
Robert ni jina kubwa na maarufu ambalo asili yake ni huko Ujerumani ambalo ni "Hrōþiberhtaz" ambalo ni muunganiko wa maneno mawili(compound word) *Hrōþi- kingereza "fame" Kiswahili "umashuhuri, utukufu, Uheshimiwa, ukubwa and *berhta- kingereza ni bright" Kiswahili ni "mwangaza, mng'ao, kung'aa ambalo ndio linazaa neno (Hrōþiberhtaz) "Bright Fame" Mng'ao wa utukufu, Mtu mashuhuri mwenye kung'aa Kama Nyota.
Robert ni moja ya majina makongwe yaliyoanza kutumika zamani Karne ya 14 na kuenea Maeneo ya Uingereza kisha Ulaya yote.
Watu mashuhuri na familia kubwa walipenda kuwaita watoto jina hili, huku wakifupisha Kama Rob, Robbie, Roby n.k Kwa wanawake huitwa Roberta,
Nickname ya Robert ambayo ni Mashuhuri Duniani ni "BOB"
Harmonize hajafanya Kwa bahati mbaya kujiita jina hilo, bali maana ya jina hilo ndilo lililomshawishi kujiita hata Kama ni Kwa utani.
Robert; Mtu mashuhuri, Star 🌟, mwenye ushawishi, mwenye utukufu , asiyeweza kuzuiwa asing'ae
Karibu Sana Harmonize kwenye Jumuiya ya Bob Duniani.
Ni Yule Bob wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam