Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,349
- 5,994
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha somo kinavosema....
Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA.
Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta akizungumza na wananchi waliomuOmba azuie maswala ya TOZO ili wapate unafuu.
Hivi ndivo alivyo wasoma wadanganyika oooops sorry watanzania... ni keyboard worries na wasahaulifu, wanafiki na waoga na hilo limedhitishwa katika kila kitu ambacho alichoamua na kulalamikiwa lakini mwisho watanzania walikipigia makofi na kumtukuza.
Na hili pia napata picha anawachora na kucheka kwa kubenua mdomo huku akibidua macho yake mazuri aliyojaaliwa na Allah... anajisemea moyoni
"Watoto wangu hawaelewi nnavo wapambania wapate neema wanakazi ya kubwabwaja wakiwa hawawezi hata kutambaa na kujigeuza mpaka niwageuzi mimi nnayejua chungu kikoje"
Nikweli watanganyika ni wazito kufikiri na hata kuamua ndo Kuandamana kwa maslai ya taifa ni ngumu ila subiri paredi la YANGA kutangazwa Ubingwa watu watafia barabarani
#Akili kumkichwa