Waislam wadai Malkia Elizabeth ni mjukuu wa Mtume Mohamed S.A.W

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,051
12,949
Waislam wadai malkia Elizabeth wa Uingreza ni uzoa wa mtume Mohamed, kwamba malkia uzao wake unatoka kwa mtume Mohamed.

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

==============================
“QUEEN ELIZABETH must claim her right to rule Muslims.” So ran a recent headline on the Arab Atheist Network, a web forum. It was only partly in jest. According to reports from Casablanca to Karachi, the British monarch is descended from the Prophet Muhammad, making her a cousin of the kings of Morocco and Jordan, not to mention of Ayatollah Ali Khamenei, Iran’s Supreme Leader.

The claim, first made many years ago, is gathering renewed interest in the Middle East. Why is not clear, but in March a Moroccan newspaper called Al-Ousboue traced the queen’s lineage back 43 generations. Her bloodline runs through the Earl of Cambridge, in the 14th century, across medieval Muslim Spain, to Fatima, the Prophet’s daughter. Her link to Muhammad has previously been verified by Ali Gomaa, the former grand mufti of Egypt, and Burke’s Peerage, a British authority on royal pedigrees.

Much hinges on a Muslim princess called Zaida, who fled a Berber assault on her home town of Seville in the 11th century and wound up in the Christian court of Alfonso VI of Castille. She changed her name to Isabella, converted to Christianity and bore Alfonso a son, Sancho, one of whose descendants later married the Earl of Cambridge. But Zaida’s own origins are debatable. Some make her the daughter of Muatamid bin Abbad, a wine-drinking caliph descended from the Prophet. Others say she married into his family.

Reaction to the queen’s purported Muslim extraction has been varied in the Arab world. Some have warned of a perfidious plot to revive the British empire with help from Muslims, particularly Shias, who revere the Prophet’s descendants. They note that the BBC’s Arabic channel ran the bloodline story. But others welcome the news. “It builds a bridge between our two religions and kingdoms,” says Abdelhamid Al-Aouni, who wrote the article in Al-Ousboue. Other reports have called the queen sayyida or sherifa, titles reserved for the Prophet’s descendants.

Her son, Prince Charles (bin Philip), is intrigued by Islam. “Perhaps there were times when he wanted to marry more than one wife,” says one of his Muslim confidants. Charles is a patron of the Oxford Centre for Islamic Studies, where he greets audiences with the Muslim salutation, as-salamu alaykum (peace be upon you). He is said to want a multi-faith coronation and to be ordained as “defender of faith”, not “the [Christian] faith”. He might try amir al-mumineen (commander of the faithful), an honorific favoured by Muslim rulers.

Muslims consider Queen Elizabeth’s ties to the Prophet Muhammad
 
Hoja ni kwamba

1. Familia nyingi za kifalme za Ulaya zina nasaba kwa kuoana.
2. Familia ya Mtume iliingia katika falme za Ulaya kupitia kuiteka Hispania na kuongoza miaka mingi.
3. Familia ya Kifalme ya Uingereza ina nasaba za kutoka familia za Kifalme za Hispania
4. Kuna madai kwamba kuna mstari wa moja kwamoja kutoka Mtume Muhammad mpaka Malkia Elizabeth wa Uingereza kupitia Hispania.
5.Habari hizi ni ngumu sana kuthibitisha au kukanusha kwa sababu miaka mingi sana imepita.
 
Hojanikwamba

1. Familia nyingi za kifalme za Ulaya zina nasaba kwa kuoana.
2. Familia ya Mtume iliingia katika falme za Ulaya kupitia kuiteka Hispania na kuongoza miaka mingi.
3. Familia ya Kifalme ya Uingereza ina nasaba za kutokafamilia za Kifalme za Hispania
4. Kuna madai kwamba kuna mstari wa moja kwamoja kutoka Mtume Muhammad mpaka Malkia Elizabeth wa Uingereza kupitia Hispania.
5.Habarihizini ngumu sana kuthibitisha au kukanusha kwa sababu miaka mingi sana imepita.

Hakuna sababu ya kukanusha ama kudhibitisha; tuache kujikomba kwa wenye maisha bora, tujikite kujenga maisha yetu wenyewe
 
Hakuna sababu ya kukanusha ama kudhibitisha; tuache kujikomba kwa wenye maisha bora, tujikite kujenga maisha yetu wenyewe
Hapana, kusoma historia nakuhakiki madai ya watu si lazima kuwe kujikomba.

"Those who cannot remember the past are condemned to repeat it." George Santayana (16 December 1863 in Madrid, Spain – 26 September 1952 in Rome, Italy) philosopher, essayist, poet and novelist.

Inawezekana watu wanadanganya kwamba wao ni vijukuu vy mitume katikajitihada za kuendelea kuwa wafalme.

HaileSelassie wa Ethiopia alisema yeye ni kijukuu cha Daudi.

Wafalme wa Jordan, Hashemites, wanasema waoni vijukuu vya Mtume.

Mfalme wa Morocco naye anasemakwamba ni kijukuu cha mtume.

Inawezekana ni kweli, inawezekana wanadanganya na kuachia uongo uenee ili kuweza kutawala kwa urahisi.

Mtu atakayechunguza na kugundua hizi habari ni za uongo,hususan kwa wafalme ambao wanafanya kuwa kijukuu cha mtume kuwa nimtaji wa kisiasa, atakuwa kawaumbua na kaonesha watu ukwelikwamba hawa si vijukuu wala nini.

Sasa mtu kama huyo atakuwaje anajikomba?
 
Sema yule marehemu angekamilisha ndoa na Dodi ingekuwa balaa kubwa. Maana du sijui ingekuwaje!!!!!
 
Hoja ni kwamba

1. Familia nyingi za kifalme za Ulaya zina nasaba kwa kuoana.
2. Familia ya Mtume iliingia katika falme za Ulaya kupitia kuiteka Hispania na kuongoza miaka mingi.
3. Familia ya Kifalme ya Uingereza ina nasaba za kutoka familia za Kifalme za Hispania
4. Kuna madai kwamba kuna mstari wa moja kwamoja kutoka Mtume Muhammad mpaka Malkia Elizabeth wa Uingereza kupitia Hispania.
5.Habari hizi ni ngumu sana kuthibitisha au kukanusha kwa sababu miaka mingi sana imepita.
Safi sana,
Acha wakubali,ili ile kashfa ya ndoa za jinsia moja ambazo kwa malkia ni ruksa,na ile kashfa ya ufrimasoni mnayomvurumishiaga iwe inasomeka hivi,
UFALME WACMJUKUU WA MOHAMAD ni mashoga na mafrimasoni,
 
Kama Uislamu unataka kutuvutia kwa kupitia nasaba za wafalme, utakuwa dini dhaifu sana.
 
Back
Top Bottom