Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

1.Wahusika ni
a)Mateja
b)wenye ugumu uliozidi(huwa na akili timamu)
c)wanaotafuta utajiri kwa waganga

2. Ni kubakwa kule maana tendo la ndoa ni makubaliano ya watu wawili sasa kichaa anaelewa nn
 
Wanaue wenye akili timamu awanaweza kumpa mimna mwanamke kichaa ila mwanamke mwenye akili timamu hawez kupewa mimba na mwanaume kichaa dhahiri
 
Kuna wawili (wote vichaa) walikuwa Bukoba pale town centre walikuwa wanaishi kama mke na mume. It is very possible baadae wakazalishana

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ukitaka kupata mtoto mwenye akili nyng unamfata kichaa
 
Kila binadam ana asilimia Fulani ya ukichaa so kichaa kikipanda anaweza kufanya tukio lolote,popote na wakati wowote,laweza kuwa ubakaji,wizi mauaji ugomvi,no,so usishangae kichaa kuwa na mimba.
Mbona hakuna hbr za mwanamke mzima kupigwa mimba na kichaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…