Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 45,388
- 64,038
Hawa watu huwa wa kusukumwa sana ili wakupe huduma ambazo ni wajibu wao kuzitoa, ni nadra sana kupata Hotel, mgahawa au Bar bongo ambapo wahudumu wake sio wa kususuasua na wako on point muda mwingi na kwa wateja walio wengi
Shida ni kwamba hawalipwi vizuri, wako kwenye hizo kazi kupoteza muda tu au huwa wanapatikana kwa kuokotwa mtaani na wamiliki pasipo kuwa na vigezo vyovyote vile ??
Shida ni kwamba hawalipwi vizuri, wako kwenye hizo kazi kupoteza muda tu au huwa wanapatikana kwa kuokotwa mtaani na wamiliki pasipo kuwa na vigezo vyovyote vile ??