LGE2024 Wagombea wengi wanaowekwa na upinzani ni makanjanja watupu, hawawezi kusaidia kuleta maendeleo ya nchi hii

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
635
2,670
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika kuwa wagombea wao wengi wamekatwa, ACT Wazalendo na CUF nao ni hivyo hivyo.

Guys, naona dhahiri kabisa huu mfumo wa vyama vingi vya siasa unatupeleka pabaya sana watanzania, mimi kwa uelewa wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala nadhani kuna haja ya kukaa na kutafakari kama kweli watanzania wanaelewa dhana ya mfumo wa vyama vingi vya siasa ama tunataka kuiingiza nchi shimoni.

Uongozi wa nchi unaanzia ngazi ya kijiji au mitaa, kule unapata wenyeviti wa viji/mitaa, wenyeviti wa vitongoji, na wajumbe wa halmashauri za vijiji na kamati za mitaa.Viongozi hawa wanatakiwa wawe waadilifu, wazalendo na wenye uwezo wa kusimamia maendeleo ya kijiji.Kuwa na kiongozi wa kijiji mzuri kutasaidia kijiji kusonga mbele kimaendeleo.

Leo Serikali inawekeza bilioni 20 katika kijiji kwa miradi ya maendeleo sio jambo dogo, kuna miradi ya maendeleo kule, miradi ya barabara, afya, maji, kilimo.Serikali inagawa pembejeo bure kwa wakulima waliosajiliwa kidigitali, kuna fedha zinapelekwa kutekeleza miradi ya elimu, afya na maji, hizi shughuli zinahitaji mwenyekiti mwenye uelewa wa mambo, anayejua kuchanganua mambo, anayeweza kuwaeleza wananchi nini serikali imefanya, fedha hizo zina maana gani kwa maendeleo ya kijiji.Kuna kero nyingi za wananchi ambazo zinahitaji viongozi wazuri ngazi ya kitongoji na kijiji.

Sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi bila kujali itikadi za siasa kuhusu wagombea wanaowekwa na Chadema, CUF na ACT, nimewauliza watu mbalimbali wa vyama hivyo kwenye wilaya kama 12 hivi, nimefanya randon sampling t.

Ukweli ni kuwa wagombea wanaowekwa na Chadema ni kama vile alivyosema Tundu Lissu, alisema Black na White.Kwamba chama hakiwezi kuweka wagombea wote kila eneo, hilo ni kweli, hata wale waliowekwa wengi ni wahuni, vibaka na wasiojua wanagombea nini.

Mfano pale Temeke Mikoroshini wagombea wa chadema ni wahuni watupu, kila mtu mtaani anashangaa na kujiuliza kama kweli siasa ndio hivi kwamba ali mradi aitwe mgombea basi tunakwenda kubaya.

Kule Temeke, Kigamboni, Mbagala wagombea wengi wa chadema ni watoto wa kihuni tu, sio wagombea wanaokwenda kuleta mabadiliko hapana, ni watu tu wamepachikwa ali mradi chama kionekane kimesimamisha wagombea basi.

Wagombea wa aina hii hawawezi kuisaidia nchi, kuongoza kijiji na mtaa sio kazi nyepesi kama mnavyodhani.

Natoa ushauri kwa CCM kusanyeni data za wagombea wa upinzani kila kijiji na mtaa halafu mkaiambie nchi sifa za wagombea hao ili watanzania waone kama kweli kuna upinzani nchi hii ama watu wanaatafuta machafuko.Nakiri yapo baadhi ya maeneo Chadema, ACT na CUF wameweka wagombea wenye adabu na wanaoeleweka, wasomi na wanajua kuchapa kazi lakini asilimia kubwa waliowekwa ni wahuni watupu.
 
Akili yako ni ndogo sana mtoa mada na una njaa mbaya mno
 
Kwa miaka mitano iliyopita, nchi nzima Kwa asilimia tisini na tisa (99%) viongozi wake wote walikuwa ni CCM. Kuna jambo lolote la maana walilofanya?

Kuna mtu anaweza kuja kujigamba kuwa mtaani, kitongojini ama kijijini kwao Kuna mabadiliko kwa kuwa walikuwa na kiongozi wa CCM na siyo CHADEMA?
 
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika kuwa wagombea wao wengi wamekatwa, ACT Wazalendo na CUF nao ni hivyo hivyo.

Guys, naona dhahiri kabisa huu mfumo wa vyama vingi vya siasa unatupeleka pabaya sana watanzania, mimi kwa uelewa wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala nadhani kuna haja ya kukaa na kutafakari kama kweli watanzania wanaelewa dhana ya mfumo wa vyama vingi vya siasa ama tunataka kuiingiza nchi shimoni.

Uongozi wa nchi unaanzia ngazi ya kijiji au mitaa, kule unapata wenyeviti wa viji/mitaa, wenyeviti wa vitongoji, na wajumbe wa halmashauri za vijiji na kamati za mitaa.Viongozi hawa wanatakiwa wawe waadilifu, wazalendo na wenye uwezo wa kusimamia maendeleo ya kijiji.Kuwa na kiongozi wa kijiji mzuri kutasaidia kijiji kusonga mbele kimaendeleo.

Leo Serikali inawekeza bilioni 20 katika kijiji kwa miradi ya maendeleo sio jambo dogo, kuna miradi ya maendeleo kule, miradi ya barabara, afya, maji, kilimo.Serikali inagawa pembejeo bure kwa wakulima waliosajiliwa kidigitali, kuna fedha zinapelekwa kutekeleza miradi ya elimu, afya na maji, hizi shughuli zinahitaji mwenyekiti mwenye uelewa wa mambo, anayejua kuchanganua mambo, anayeweza kuwaeleza wananchi nini serikali imefanya, fedha hizo zina maana gani kwa maendeleo ya kijiji.Kuna kero nyingi za wananchi ambazo zinahitaji viongozi wazuri ngazi ya kitongoji na kijiji.

Sasa nimekuwa nikifanya uchunguzi bila kujali itikadi za siasa kuhusu wagombea wanaowekwa na Chadema, CUF na ACT, nimewauliza watu mbalimbali wa vyama hivyo kwenye wilaya kama 12 hivi, nimefanya randon sampling t.

Ukweli ni kuwa wagombea wanaowekwa na Chadema ni kama vile alivyosema Tundu Lissu, alisema Black na White.Kwamba chama hakiwezi kuweka wagombea wote kila eneo, hilo ni kweli, hata wale waliowekwa wengi ni wahuni, vibaka na wasiojua wanagombea nini.

Mfano pale Temeke Mikoroshini wagombea wa chadema ni wahuni watupu, kila mtu mtaani anashangaa na kujiuliza kama kweli siasa ndio hivi kwamba ali mradi aitwe mgombea basi tunakwenda kubaya.

Kule Temeke, Kigamboni, Mbagala wagombea wengi wa chadema ni watoto wa kihuni tu, sio wagombea wanaokwenda kuleta mabadiliko hapana, ni watu tu wamepachikwa ali mradi chama kionekane kimesimamisha wagombea basi.

Wagombea wa aina hii hawawezi kuisaidia nchi, kuongoza kijiji na mtaa sio kazi nyepesi kama mnavyodhani.

Natoa ushauri kwa CCM kusanyeni data za wagombea wa upinzani kila kijiji na mtaa halafu mkaiambie nchi sifa za wagombea hao ili watanzania waone kama kweli kuna upinzani nchi hii ama watu wanaatafuta machafuko.Nakiri yapo baadhi ya maeneo Chadema, ACT na CUF wameweka wagombea wenye adabu na wanaoeleweka, wasomi na wanajua kuchapa kazi lakini asilimia kubwa waliowekwa ni wahuni watupu.
Ila wezi ndio wanaoweza kusaodi sio?
 
Back
Top Bottom