Waganga wa kienyeji wanafanyeje kuwashawishi wagonjwa kutoroka hospitali?

sir Matiku

New Member
May 17, 2023
3
3
Wakuu hivi hawa waganga wa kienyeji Huwa Wana maneno matamu kiasi Gani yaani mtu mpaka anamtorosha mgonjwa wake hospitali ili ampeleke Kwa mtaalamu.

Cha ajabu zaidi ugonjwa wenyewe unakuta unatibika hospitali kwa gharama mdogo sana lakini akienda upande wa pili mwamba anapiga Hela na anauachia disability lakini ndo hivyo hana pa kumpelekq bingwa anatishiwa kurogwa hivi watanzania tuna nini lakini
 
shida sio gharama za matibabu shida ni atapona lini na wapi kuna majib straight ya swali hilo.
hio ndio sabab kuu
 
Back
Top Bottom