05 September 2024
Dar es Salaam, Tanzania
Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam.
Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo.
Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya kurudisha fomu .. pamoja na mvua watu wengi wamejitokeza ili kumuunga mkono meya mstaafu Boniface Jacob almaarufu Bonny Yai.
Uchaguzi huu wa kanda ya Pwani ni muendelezo wa demokrasia ya ndani ya chama cha CHADEMA kuchagu viongozi wa kanda za chama cha CHADEMA nchini kote.
==========
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakimsindikiza aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob kurudisha fomu ya kugombea kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Pwani leo Septemba 5, 2024.
Maandamano hayo ya amani yameanzia Manzese yakitarajiwa kutamatika ofisi za chama hicho Kanda ya Pwani, zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Pia, soma: Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano