SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,945
- 2,032
Sijui ni nani alowafundisha kuendesha hizi machine, akasahau kuwafundisha namna ya kuwajali wateja! Maana unaweza toka nyumbani uko vizuri hawa wadada au wakaka wakakuvuruga.
Sisi ndio tunafanya nyie mlipwe, mnatakiwa muwe na lugha nzuri kwetu. Muhindi jitahidi kuwagawia elimu hawa ndugu zetu hasa Matawi yako ya Mikoani..
Sisi ndio tunafanya nyie mlipwe, mnatakiwa muwe na lugha nzuri kwetu. Muhindi jitahidi kuwagawia elimu hawa ndugu zetu hasa Matawi yako ya Mikoani..