karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 223
kumekuwa na tabia mbaya sana premier bet arusha ofisi ya Philips,,,unakuta mtu mfano amebet mkeka wake ameshinda laki mbili
ukiondoka kwenda kufata mpunga wako hapo ndio kero inaanza..utaambiwa hakuna hela,njoo SAA Tisa,Mara imetumwa fedha kidogo,ila acha 20,000 tukupatie faster iliyobaki,,,yaani pamekuwa sehemu ya rushwa,,,yupo jamaa mmoja na mdada flani hivi ndio balaa kesho natafuta njia ya kuwapiga picha niwaweke humu,,,mlioko makao makuu DSM ondoeni kero hizi mbona play master,star bet na hata meridian hakuna upuuzi huo?