Serikali imewapa wageni wanaofanya shughuli zao hapa nchini siku 14 kuwa wamekamilisha vibali halali vya kufanya kazi hapa nchini.
Mwanzoni wafanyakazi na biashara hao walikuwa wanaingia nchini na kulipia kibali cha muda wa miezi mitatu wakati kiukweli walikuwa wanakaa zaidi ya miezi iliyotajwa.
Serikali imekutana na watu hao leo hii idara ya kazi jijini dsm na kuwapa utaratibu wa kulipia kihalali ili kupewa kibali cha kuishi na kufanya shghuli zao kihalali.
Wachina walikuwa ni wengi sana wakifuatiwa na wahindi.
Duh hayo sasa maafa sijui kama TANELEC,SERENA,SOPA,Grumeti Reserves,TGT,Mount Mere Petroleum,SUNOLA watafanayaje kazi maana 3/4 ya wafanyakazi wao ni wageni.
Duh hayo sasa maafa sijui kama TANELEC,SERENA,SOPA,Grumeti Reserves,TGT,Mount Mere Petroleum,SUNOLA watafanayaje kazi maana 3/4 ya wafanyakazi wao ni wageni.
Hii ndio speed..???? Kweli.., WATU WAKO NCHINI kinyume cha maumbile ya nchi na sheria... alafu unawapa siku 14 wajiandae kukufanya kinyume na maumbile ya nchi yetu...!!! this is very low....!!
 ...
Hao wageni waliovunja sheria hawatakiwi kubembelezwa kwa kupewa muda. Hiyo ni dharau kwa serikali na wataendelea kuidharau kwa kuwa haitaweza kuwafanya chochote. Haya maamuzi legelege yanayotolewa na viongozi yanadhalilisha serikali!