Wafanyabiashara kutoka Tanzania kufuata mizigo ya bei nafuu Uganda, imekaaje?

Serekari ya Uganda unachukua kodi kiasi. Hivyo wafanya biashara wao wanauza bei raisi.tofauti na mfanyabiashara wa bingo alielipa kodi kubwa kwa bidhaa ile ile. Atuwezi nunua na kuuza tena kwa jumla. Lila ukinunua Uganda unakuja una jumla. Ile kanuni ya kodi ya ku- uplift bei ni ya ovyo sana. Yani ukinunua gari Dora mia ata kama umelipia bank na una slip wap anafanya mara tatu kuwa ndio bei harisi. K isha wanatoza kodi kwa bei Yao.mtaisoma namba.
 
ngoja nikanunue iPhone 7 uganda
 
Hueleweki kabisa.

Hesabu ulizotoa pia ni fake.
 

Mkuu iangalie tena hesabu yako,haiwezekani dola moja ikawa 2400 kwa Uganda na Tz ikawa 2400

Wakati huo huo 5000 ya UG ikawa sawa na 3500tz.
 
Hueleweki kabisa.

Hesabu ulizotoa pia ni fake.
I see kusema kweli huyu mtu sijui anaandika kiarabu...hawezi kuandika na kutoa ufafanuzi ukaeleweka kabisa...Najua anayopoint kichwani ila kuiweka sawa ikaeleweka nadhani ndio tatizo lake
 
Naomba elimu juu ya jambo hili maana nipo ktk plan ya kwenda uganda au kenya kwaajili. Ya ishu hyo
 
Sasa naomba kuuliza,nimesikia Kenya mabalo ya mitumba grade 1 ndo ipo quality kuliko nchi yoyote ya ukanda wa Afrika mashariki,hili unalionaje ukilinganisha na mitumba ya Uganda?
 
Na mfanyabiashara pia wa kibongo nae anatamaa sana kwa mfano bongo wenye uwezo wa kusafirisha mzigo toka china wachache sana nae akuna uwezekano wa yeye kuuza direct bidhaa anaweza akawa na mawinga yani watu wake wa kumuuzia hao ni wabaya sana upandisha bei karibu mara mbili mfano sunda walikua wanauza rejereja tiles na vifaa vyao vya kilimo leo wamekua wauzaji wa jumla wakati wanauza bei ya rejareja tiles grade one ilikua bei poa 23000 hadi 20000 leo wanauza jumla tu na wanunuzi ni maduka ya kariakoo wengi wao sasa hao middlemen ndo balaa kwa bei juu mana unaangaliwa ukiwa mjanja poah ukiwa mzembe unapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…