Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,772
- 752,156
Je ulishawahi kuona mdudu atembeaye? Mimi sijawahi kwakweli kwakuwa viumbe hai watembeao ni aidha wana miguu miwili ama minne.
Hizi ni baadhi ya picha za wadudu warukao na watambaao.. Kati ya hawa kuna ambao tunawafahamu katika uhalisia wake
Kati ya hawa kuna ambao tunaishi nao
Kati ya hawa kuna ambao Tumejifunza tu mashuleni
Na Kati ya hawa kuna waharibifu, wenye maambukizi sumu nk