chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
mwisho wa mwezi mwisho wa mwwzi una raha mama eeh
mwisho wa mwezi ukifika una raha ya pekee
utaona watu wengi wana nyuso za furaha eeh
kwavile wana pesa pesa eeh
ukifika mjini iiih! ama kweli utashangaa
watu wanavyopisha kutafuta mahitaji
watu wanavyopishana kutafuta mahitaji
kwa wale wafanyakazi wa viwanda na maofisini ni raha eeh
mwisho wa mwezi una raha eeeh
ama kweli ni furaha tu ni furaha.
umegonga ikulu hapo...Mwisho wa mwezi hata lugha hubadilika ee
Habari gani hugeuka kuwa "How are you?'
Hakuna taabu hugeuka kuwa "No sweat!"
Na samahani wanasema Soreee..........
Acha wee!
ngoja niutafute maktaba ndugu ni pm.Jamani naombeni wimbo wao unaitwa Theresa
Unaanza aibu aibu ulonipa mama, kunikataa mbele ya kasisi
Juzi jumapili waliupiga E.fm kwenye kipindi chao cha nyimbo za zamani kuanzia saa mbili hadi saa tano usiku. Walinifurahisha sana.ngoja niutafute maktaba ndugu ni pm.
E.fm wako vizuriJuzi jumapili waliupiga E.fm kwenye kipindi chao cha nyimbo za zamani kuanzia saa mbili hadi saa tano usiku. Walinifurahisha sana.
Mwanameka hii hapamwisho wa mwezi mwisho wa mwwzi una raha mama eeh
mwisho wa mwezi ukifika una raha ya pekee
utaona watu wengi wana nyuso za furaha eeh
kwavile wana pesa pesa eeh
ukifika mjini iiih! ama kweli utashangaa
watu wanavyopisha kutafuta mahitaji
watu wanavyopishana kutafuta mahitaji
kwa wale wafanyakazi wa viwanda na maofisini ni raha eeh
mwisho wa mwezi una raha eeeh
ama kweli ni furaha tu ni furaha.
.......oooh soreeeeeMwisho wa mwezi hata lugha hubadilika ee
Habari gani hugeuka kuwa "How are you?'
Hakuna taabu hugeuka kuwa "No sweat!"
Na samahani wanasema Soreee..........
Acha wee!
.......oooh soreeeee
Kida waziri hapo unakutana na mtindo unaitwa kafie kwenu sio mchezo jukwaa lilivyokuwa linashambuliwa nakumbuka almarhum eddy sheggyHalafu enzi hizo marehemu Maneti akiwa na Binti mmoja mwimbaji..jina limenitoka sio..... Shida Waziri? Hivi yupo wapi mtoto huyo?