Wadau nataka nitie laki 9

Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayouona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi.

View attachment 2990710
Huu ni ulevi.lakini pia nadhani serikali ingeingilia kati.hili eneo la kubeti linaua nguvu ya uchumi wa nchi.ni sawa wanakusanya kodi vizuri lakini ni eneo la kijinga kulitegemea kama chanzo za fedha kwa sababu kodi zinakuwa zinakusanywa kwa matumizi yaliyofanywa na wagonjwa wa akili.Hii ni adiction.Ni kama kukusanya kodi kwa wauza cocain
 
Tafuta kazi ya kufanya usipende kuingia kwenye mambo yasiokuhusu hamna mtu alieomba pesa Yako humu
 
Back
Top Bottom