inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 602
- 660
Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua mtu bei za Ist, Alex Runx kama zipo juu (Mind you hii ni kutokqna na uwezo wangu, usilete dhihaka zako).
Nataka nikamate ka usafiri humble tu, Corola X. Naombeni ushauri juu ya mambo ya hapa na pale ya kitalaamu.
Jamani changieni basi, maana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu mimi Mtanzania.
Nataka nikamate ka usafiri humble tu, Corola X. Naombeni ushauri juu ya mambo ya hapa na pale ya kitalaamu.
Jamani changieni basi, maana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu mimi Mtanzania.