M mussa christopher Member Jan 4, 2017 16 4 May 15, 2017 #1 Wadau natafuta soko la choroko na dengu kwa kilo
Napoleone JF-Expert Member Apr 11, 2012 10,087 16,013 May 15, 2017 #2 Ni pm,soko lipo zur tuu,una kias gan cha dengu na choroko na uko wap
fmlyimo JF-Expert Member May 4, 2012 329 208 May 31, 2018 #5 mussa christopher said: Wadau natafuta soko la choroko na dengu kwa kilo Click to expand... Bei ya choroko leo Dar es Salaam ilikuwa 1,080/= na ufuta umenunuliwa kwa 2,300/= Karibu sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
mussa christopher said: Wadau natafuta soko la choroko na dengu kwa kilo Click to expand... Bei ya choroko leo Dar es Salaam ilikuwa 1,080/= na ufuta umenunuliwa kwa 2,300/= Karibu sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com