DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,560
- 3,734
Niende kwenye mada!
Ni kitambo sasa sijaleta muendelezo kuhusu Mercy, siyo kwamba kaacha kunifatilia hapana bado na saivi sielewi nafanya nini ila nitashinda (tutashinda mimi na Mage)
Mambo yangu na Mage yapo vizuri ila siyo vizuri kama mwanzo. Chanzo cha haya yote ni Mercy.
Nilipanga nibadilishe sim card lakini siwezi kwasabab watu wangu (wateja) ni wengi na wanaifahamu hii namba kwahiyo nahisi sitaweza badilisha ukizingatia pia namba yangu nimeifanya iwe ya kazi za uwakala naitumia hii hii japo pia ninazo na zingine kwasabab laini ya uwakala kuana baadhi ya limitations katika matumizi.
Niliwaahidi mwezi wa7 mwaka huu ningefunga ndoa na Mage wangu lakini kuna mambo yalienda ndivo sivyo lakini mipango bado ipo Mungu akipenda mwezi wa12 au wa1 kitaeleweka na wanaJF waliopo karibu nitawakaribisha mje mshuhudie kijana nitakavokuwa nayarudi kwa furaha kwasabab haitakuwa rahisi kufikie lengo kwani Mercy ni mtu wa ajabu sana.
Nitakuleteeni hali halisi baadaye.