Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,717
- 4,683
Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi
Kwann MkuuWadada wenye hizi Rangi wawekewe UlinziView attachment 3161490
Wamebak wachache weng wamekimbilia uzungu hatimae ngoz ZAO zimekua mbagala rangi tatuKwann Mkuu
Toa Fact kama zote
Chungwa lililo oza😂Hao wana maajabu gani, mi napenda rangi ya chungwa bana😁
Sema n watamu au Nilipitiwa😀Wamebak wachache weng wamekimbilia uzungu hatimae ngoz ZAO zimekua mbagala rangi tatu
Au sio 😂😂😂Sema n watamu au Nilipitiwa😀
😁😁😁😁😁😁 Hapana basi ndizi kisukariChungwa lililo oza😂
Sema n watamu au Nilipitiwa😀
😁😁😁Kumbe Ngoja nipande Mnazi kwa Mkono mmojaUtamu unao mwenyewe mkuu we jaribu na sabuni uone
Sio zile za mbege😂😂😁😁😁😁😁😁 Hapana basi ndizi kisukari
Wewe umeongeaNi kweli mkuu wenye hiyo rangi huwa wanag'aa sana alafu hawanaga hata chunusi za ajabu ajabu
Kwa kweli wapewe ulinzi wana vitu flani vya kunoga ivi na ni adimu mno 😋Wadada wenye hizi Rangi wawekewe UlinziView attachment 3161490
Mgodi huwa una nyuzi joto za kutoshaKwann Mkuu
Toa Fact kama zote
Wana joto sana kule uvunguniHao wana maajabu gani, mi napenda rangi ya chungwa bana😁
Ulinzi wa nini sasa wakati wasukuma tunataka weupe.Kwann Mkuu
Toa Fact kama zote