Wadada tuoneneeni huruma na hela zetu wakaka

Umenikumbusha nimetoka ku share story na mchzi anafanya kazi ya welding and metal fabrications, sasa jamaa kutokana na moshi wa kuchomelea Mara nyingi macho yake mekundu kama mchoma nyasi...sasa juzi kati wako gheto kwa demu ambalo pia yeye ndio analilipia kwa kazi yake hiyo, siku hiyo kafika demu kamzingua kuwa anataka mkwanja wa kusuka mwana kamwambia subiri Leo sina, sasa inaonekana mchizi siku hiyo kachoma sana vyuma sasa usiku huo macho yakaanza kutoa mchozi kulia, demu akamwambia "mwanaume mzima unaombwa pesa ya kusuka tu halafu unajiliza kwani kuna matanga hapa" fast calculation mwana alimvutia mbata aka kofi also known as kibao cha uhakika demu wake.
 
 
Ukiona njemba inakokota demu mkali fuatilia nguvu ya mapenzi yao nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…