Younguther
Senior Member
- Mar 8, 2019
- 141
- 305
Kutoka miaka 20 kwenda 30, miaka huwa ni kama haiendi inakuwa inasogea taratibu na kipindi hiki ndio mabinti wengi hukitumia vibaya kuringa na kudanga, wanatumika mno kumbe Mungu ndio amewapa kukitumia kufanya maamuzi sahihi kuchagua wenza sahihi wa maisha yao na sio kufanya umalaya.
Kipindi hicho wengi hukitumia vibaya kubadili wanaume wenye pesa, wale wasio na ela hupuuzwa na kuambiwa sio hadhi yao au sio type yao. Hapo watoto wa kike huwa na kiburi sio mchezo. Utawaambia nini wakati kila wanakopita wanaitwa warembo wanaombwa namba? Kipindi hiki mabinti wa Sikuizi wanakwambia ndio kipindi cha kunywa P2 kama chai, ndio kipindi cha kuflash wanakwambia kuolewa au kuzaa ni ushamba wanakula maisha.
Kipindi kinachofuata ni kuanzia miaka 30 kwenda 35, hiki ndio kipindi cha MHAHO, hiki ni kipindi kibaya zaidi kwa mabinti hapa miaka haiendi bali inakimbia, yaani ni kama kila wakilala wakiamka tayari mwaka mwingine. Hiki ndio kipindi Mwamposa anapata maombi mengi ya mabinti kuomba mume. Kipindi hiki ndio mabinti wengi akili huwakaa sawa, wanatafuta wanaume wa kuwaoa tena wanapunguza mashariti ya kijinga.
Hiki ndio kipindi cha majuto makuu kwa mabinti wanatamani muda urudi nyuma wawakubalie wale vijana waliokuwa na nia ya dhati kuwaoa wakawakatalia kisa hawakuwa na pesa nyingi na magari kama walivyotaka. Kiufupi hiki ndio kipindi ambacho mabinti wengi huwa na adabu ukimtania tu kwamba unataka kumuoa anakuganda anakuchukulia serious mno na hapa matapeli pia huwa wanawafaidi sana kwakuwa wanajua kiu yao.
Hapa ndio mabinti wengi wanagundua wanaume wenye pesa nyingi waliowatumia kwa miaka mingi na kuwatoa marinda ni waume za watu, wana familia zao walikuwa wanawachezea tu
Nani wa kulaumiwa?
Ni wewe mwenyewe binti uliyetumia usichana wako vibaya, kiburi cha urembo na tamaa ya kupata wanaume matajiri zilikuponza
Sasa katika umri huu unaokimbia(30-40)akutake Nani???!! hata wale wanaume wasio na fedha waliokuwa na nia ya dhati kukuoa hawakutaki tena wanakuona shangingi, wanakuona kunguru hufai kufugika. Wanakuita samaki wa mapambo hufai kwa kuliwa
Wanajiuliza na uzuri wako mbona hujaolewa? Wanakuogopa na kujua lazima una rekodi mbaya kimaadili
My sister hapo ushangazi unakuhusu📌📌🔨