Wadada na yaliyoko chini ya kapeti

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
1,346
862
Ukiona mwanamke ni mzuri sana, yaani sura kali, shepu hilo, miguu ya ukweli, amesoma vizuri yani unahisi kama kapendelewa kila kitu jua kuna kitu kimoja tu some where hakiko sawa.

Huwezi pewa vyote wanasema wahenga, wengine wazuri kinomaa kama amejiumba lakini injini rejeta inavuja, ukipiga utadhani unafua maturubai Mtera, si Mtera Ruvu chini si Ruvu balaa! Mwingine mzuri mpaka basi ila ana kifafa, katikati ya mechi demu anazima unaanza kumpepea na the guardian.

Wengine wazuri ila wana mashetani ukifika nae room maruhani yanapanda anakupiga roba mpaka unahisi umeshikwa na baunsa wa billz.

Usione msichana mkali anakuzungusha ukadhani hataki kuliwa, wana siri nzito wanajua wakikupa ukajua utawatangaza, anakuzungusha kulinda CV isishuke.
 
Umenikumbusha demu mmoja mkali sana enzi hizo alikuwa ananizungusha kwa miaka 5 aisee siku nilipomkamata tena nikiwa nimemfuata 200km toka nilipo maana walihama tulipokuwa tunakaa nao; siku hiyo sikuamini aliyoniambia kuhusu injini yake nikajifanya Thomaso nikachungulia na kushika lakini bado sikuamini nikajikuta napiga punyeto tu kwa kugusisha juu ya injini kwani haikuwepo kabisa isipokuwa katundu kama kakutolea mkojo tu.
 
"Sungura akagumia, naona nafanya kazi, bila faida kujua"
Rejea kitabu cha darasa la tatu
Au basi ata notes za darasa tajwa hapo juu huwezi kosa hii kitu
 
Umeona eeeeeee?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…