Wadada mnaopiga vibomu wanaume mnaboa sana, mtaishia kugegedwa tu na kuuchwa

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
881
1,033
Habar za humu wana jamii forum yupo dada moja ambae ni mpenzi wangu nilikuwa na mpango wa kumuweka ndani lakini kutokana na tabia yake ya kuomba pesa (vibomu) ambavyo havina sababu nimeamua kumuweka pembeni na kumtoa samani ya mke bora na nimemweka kundi la mchipuko

Napenda kuchukua nafasi hii kuwaasa wasichana wenye tabia kama za huyu dada tena mwenye kazi nzuri inayompa kipato cha kutosha kuachana na tabia za kupiga vibomu wanaume.

Kwa hivi sasa wanaume wengi tumekuwa tukiangalia wanawake wenye utu zaidi na tabia njema kuliko tamaa.....Maana mwanamke mwenye tamaa mwisho wake huwa si mzuri zaidi ya kuishia kuwa malaya.

Chonde chonde mwanaume mwezangu kama girl friend wako ni wakupenda vibomu na tamaa ya pesa huyo muogope kama ukoma ukiweza chakachua tu na kuondoka
 
Bado nitarudi pale pale kaa nao mbali hao ni viumbe wa ajabu
 
Umeona mkuu
 
Tena kwa zama hizi za magu hata huwa sisumbuki kutafta ushauri kwa anaeniomba hela,, nakata mnyororo fasta na uzuri wako weengi wanawake na wamejaa dhiki na shida kupata mwingine ht sio kazi
 
kwahiyo ww kuombwa hupendi ila kumuomba yeye unapenda

mwache achukuliwe na wanaojua wajibu wao wanaotoa bila kuombwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…