Wachungaji, Maaskofu na Manabii ambao mlikaa kimya kipindi cha Magufuli acheni unafiki. Fungeni vinywa vyenu mtulie kimya msubiri jehanamu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
14,765
42,926
Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji.

Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10.

Miili ya watu iliokotwa kwenye viroba wengi walikaa kimya.

Utekaji ulikithiri wengi walikaa kimya.

Eti leo wanajifanya kutokwa na jasho madhabahuni kukemea umwagaji damu na maandiko wanaweka.

Unafiki
Unafiki
Unafiki.

Mkachomwe moto mkali wa jehanamu.

Tutakaowasikiliza ni wale tu ambao vinywa vyao vilikuwa wazi kila uharibifu uluposimama bila kujali mtawala alikuwa dini gani, jinsia gani au alikuwa mkali au alikuwa si mkali.
 
Watekaji na wauaji wote wanajulikana watawekwa hadharani mmoja baada ya mwingine
GXSjdPnWUAAzb2j.jpg

Mafwere
 
Back
Top Bottom