Wachumi, Bajeti ya Trilioni 29 kwa mwaka 2016/2017 imetekelezwa kwa asilimia ngapi?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wachumi mwaka Jana wakati wa Bajeti ya Serikali Bunge lilipitisha Sh.Trioni 29. Tuliambiwa mipango mingi sana ikiwa ni pamoja na kuboresha mishahara ya watumishi.

Hivi sasa imebaki miezi 3 naona mambo bado magumu. Je imetekelezwa kwa Asilimia ngapi?
 
Hizo Trillion 29 kwenye mzunguko hazionekani labda huko Chato.. Ila awamu hii wakandarasi watapiga sana mipunga..
 
Hadi sasa kati ya billion 250 za kununulia dawa kwenye hospital kupitia MSD wametoa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…