Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,943
- 4,595
Serikali ya ki Communist ya china imetishia kuchukua hatua kali dhidi nchi marafik waliokuwa wanafanya nao biashara baada ya nchi hizo kuwa ktk shinikizo la kuikacha china na kufanya biashara na USA
Utakumbuka kuwa kwa sasa USA chini ya Trump imekaribisha nchi nyingi kwa ajili ya mikataba mipya ya kibiashara
Mshauri wa Rais trump kwenye masuala ya uchumi amesema zaidi ya nchi 50 zimefka washington kwa ajili ya mazungumzo ya mikataba mipya
Kwahiyo kwa sasa trump anaita nchi moja moja
China apo ndio kachanganyikiwa anasema atachukua hatua kali😁
Sasa jiulize biashara inalazimishwa?
Mfano mdogo Tanzania inapokea mabilion ya msaaada kutoka USA ila Tanzania anafanya biashara kubwa na china kuliko USA ( hapo anaitwa kiongozi wa nchi akasaino deal)
Tusubiri tuone atachukua hatua gani uchina
Source: fox news