EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,914
Wakuu mmebarikiwa na MUNGU WA mbinguni hakuna laana.
Huyu ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya wachezaji wa Simba kwenye mechi Ile.
1. Bwalya
Huyu jamaa Kwa Mtazamo wangu NI mchezaji WA kawaida Sana Sana ingawa anapewa sifa Sana na majina kama yote lakini si mchezaji wa kumtegemea kuamua MATOKEO hasa timu ikiwa imezidiwa. Kama ajibu asingekuwa mvivu basi ajibu angekuwa Bora Sana kuliko huyu bwalya. Kwenye mechi Ile jamaa alionekana kama amekuwa na uwezo WA kupiga chenga na kukimbia na mpira lakini bnafsi sioni kama NI Bora Kwani alikutana na beki na kiungo ya kawaida Sana kitu ambacho kilimfanya awe anafanya atakavyo.
Simba watafute kiungo kariba ya chama huyu bwalya hawezi cheza mechi ngumu na mipira yake ya kuzunguka kisha kupiga pasi za nyuma na zisizo na macho.
2. B. Morrison
Huyu jamaa nimegundua kwanini alichemka South, Congo na kubaki Hana timu mpaka alipookotwa na Yanga. Jamaa ni mchezaji msumbufu Sana ana kasi Sana lakini ana upuuzi mwingi Sana kuliko mazuri uwanjani. Mechi Ile kama huyu jamaa angekuwa serious Sana alikuwa na uwezo mkubwa Sana wa kuamua MATOKEO lakini Morrison alikuwa anakimbia na mpira kisha akikaribia eneo la kufunga au kutoa pasi mwingine afunge anajiangusha au unashangaa tu adui anachukua mpira ye anabaki amesimama na kulalamika. Huyu jamaa huenda hayuko Sawa kiakili.
3. Wawa
Jamaa ni beki mzuri lakini umri umemtupa mkono ingawa bado anatamani kufanya mengi Sana lakini mwili unakataa yaani goal la pili mpira umepita Kwake anaungalia Tu. Huyu anatakiwa kuachwa Simba watafute beki mwingine Kariba ya Onyango.
4. Kanoute
Huyu dogo nashangazwa Sana na sifa anazopewa lakini ni kiungo wa kawaida sana hana uwezo wa kumuweka benchi Mzamiru au Mkude hakuna cha maana alifanya siku ile uwezo wake mdogo sana sidhani kama Una akili timamu inaweza mlinganisha na wale viungo wa Yanga kwa namna yoyote Ile dogo bado Sana Hana uwezo WA kucheza Simba ya sasa.
5. Banda
Huyu dogo alisajiliwa Kwa mihemko tu kisa aliwasumbua viungo na mabeki wa Taifa Stars SIku Ile lakini kiukweli dogo bado ingawa ni mchezaji mzuri lakini umri na umbo lake havimfanyi kufanya makubwa kazi kurembua macho Tu huyu akikutana na wanaume wa Prisons hawezi kufanya lolote tough game huyu dogo hawezi tuache utani.
6. Kapombe
Beki Bora Sana lakini umri sasa umekataa na uwezo wake umeishia hapo makosa mengi Sana hata SIku Ile ule upande wake ndo ulikuwa ukitumika Sana nadhani haraka Sana kama kuna mbadala apewe nafasi haraka huyu kapombe akamalizie mpira wake huko polisi tz.
7. M.Hussein
Huyu jamaa NI bonge la beki lakini ni Kama huwa anakata upepo Sana yaani anachoka Sana nadhani ni kutokana na mikimbio yake mbele na nyuma anachoka hasa. Mbaya zaidi ni kama hana mbadala pale Simba maana Gadiel ni kama haaminiwi tena wala hajawahi pewa nafasi ya maana toka ametua pale.
9. Boko
Huyu Jamaa umri wake sasa na uwezo wake umefika mwisho kimpira hana jipya tena mbaya zaidi hana mbadala maana wale akina Mugalu na Kagele nao ndio wale wale Tu siku ile hakuwa na cha maana alifanya ila alikuwa anazunguka tu kama hayupo uwanjani.
UPANDE WA WACHEZAJI NAISHIA HAWA
NB: kuhusu KOCHA aisee Yule mrundi nilivyokuwa namtazama ni kama hakuwa na shida na moyoni ni kama alikuwa anafurahia Sana Yale MATOKEO akitegemea KOCHA Gomez atimuliwe ye Ale shavu Mimi ndivyo nilivyokuwa namuona hakuwa na uchungu wowote maana hawezi laumiwa Kwa MATOKEO yoyote. Warundi Wana hila Sana si hata Yule saido wa Yanga inasemekana ni mchezaji wenye kiburi na dharau Sana mpaka Kwa wachezaji wenzake na makocha.
Nakaribisha MAONI, matusi, Ushauri, kejeri, ujuaji, na upuuzi WA Aina yoyote na povu.