Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 438
- 1,588
Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa sana, hata hivyo matokeo ya jana azam kuliwa na Yanga yamenifanya niwashawishi viongozi wangu kufanya juu chini kuwasajili wachezaji hawa kutoka azam.
Feitoto, Pascal Msindo, Yahya Zayd, Idd Nado, Akaminko, Jibril Sylla na wengine
Aidha nawasihi sana yule Idd Kipagwile wa Dodoma Ana uwezo mkubwa sana kuliko Joshua Mutale, Ana uwezo mkubwa sana akitokea pembeni
Mwingine yule wa Ken Gold, anatumia guu la mavi na kusuka nywele, jina limenitoka kidogo, asante