Wachezaji hawa wa Singida Black Stars wanaweza kuanza kikosi cha Simba Yanga au Azam bila wasiwasi wowote ule

Kwa iyo mukwala anamuweka benchi Rupia? Mutale anamuweka benchi Tchakei? Ngoma anamuweka benchi Arthur badar?🤣🤣🤣
Arthur Badar unaweza kumlinganisha na Ngoma, mtu anatumia nguvu nyingi kuliko akili.
Pale ni wachezaji wawili beki Trab na Rupia.
 
Subiri wacheze na Ndugu zao ndio utajua uwezo wao. Jana ilikuwa NGUVU ya mil 50. Nidhamu sifuri. Ushamba Kibao.
 
Trabi tra na elvis rupia hao wengine takataka tupa kwenye dustbin. Topic closed kasema mwamba,guru,gwiji na galacha la futiboli duniani.

"A man called Gonamwitu"
 
Back
Top Bottom