Wachawi wapanga kumuondoa Trump madarakani

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
Wapinzani wengi wa rais wa Marekani Donald Trump, wanaamini kuwa itawabidi wasubiri kwa miaka minne ili aweze kuondoka madarakani.
Lakini wachawi nchini Marekani hawakubaliani na hilo.
Usiku wa manane siku ya Ijumaa, wale wanaoamini uchawi kote nchini Marekani, waliandaa matambiko yenye nia ya kumuondoa Trump uongozini.
Hadi sasa ukurasa wa Facebook wa matambiko huyo umepata wafuasi 10,500.
Ukurasa wa Facebook umebuniwa kuunga mkono uchawi huo
Hatua hizo zimezua ghadhabu kotoka kwa wakirsto ambao wamewalaumu wachawi hao wa kutangaza vita vya kiroho.
Wachawi hao wanapanga kurudia tambuko hilo hadi pale Trump atakapoondoka ofisini. Tambiko lingine litafanyika machi 26.
Chama cha wakiristo nacho kilitangaza tarehe 24 mwezi Februari kama siku ya maombi ya kuukabili uchawi huo.
Hata hivyo Trump hajazungumzia lolote kuhusu vita hivyo kati ya kanisa na uchawi.

waovu wote wako against Trump, lakini mara zote wamemshindwa sababu giza haliwezi shinda nuru. akina clinton, BAK kui vipi labda kwa hii njia mtamuweza?!
 
Mungu yu hai na yupo kila sehemu.Acha wachache waliowahi amini kwamba anaishi Semunge(Kwa babu wa Loliondo)na matokeo yake wengi wameshaindoka ktk maisha haya.
 
Mwarabu alivyo mchawi na anavyong'ang'ania kwenda US sitoshangaa akitumia kila aina ya mbinu. Naiona vita ya kiroho kali kabisa katika utawala wa Trump lakini kwa hakika atashinda na zaidi ya kushinda.
 
kumbe wapumbavu wapo kila sehemu.
Wako kila sehemu. Lakini watakapomaliza kurukaruka wakiwa uchi watashangaa KUMWONA Trump akiwa bado madarakani!
Shetani hana mzungu wala mwafrika.
Na ujinga HAUNA RANGI!
 
(bold) ina maana hao wana JF ni wachawi au sijaelewa vema hii sentensi?!!

ushaambawa mwanzo kabisa mwa post kwamba Wapinzani wengi wa rais wa Marekani Donald Trump, wanaamini kuwa itawabidi wasubiri kwa miaka minne ili aweze kuondoka madarakani.
Lakini wachawi nchini Marekani hawakubaliani na hilo.
hao unaowaulizia hawaamini kwamba atamaliza miaka minne kama vile ambavyo wachawi wa marekani hawaamini.
 
noted
 
Wafuasi wa Clinton bado wanaendelea na campaign awaamini kama trump ndie raisi.vyombo vya habari navyo vimekuwa vikizusha uongo kila siku dhidi ya Trump. "Waovu wote awamtaki Trump"
 
"As the Trump administration hunts for the source of a series of politically embarrassing leaks that have plagued the young administration, dozens of White House staffers have had their phones searched in what is being termed “recess” compared to what may be planned, two top administration officials told Fox News.

One official told Fox that White House Press Secretary Sean Spicer called nearly two dozen staffers into his office and demanded the staffers’ cell phones in order to check for evidence of leaks. Spicer warned that the initial search would be “recess” compared to what awaits staffers in round two of the investigation, if the leaker – or leakers – aren’t discovered"...

Yaani kama wamefika hapa, wenyewe hawajiamini to the point of confiscating staff's cellphones?!
Kweli hali mbaya.
Yeah right!, analogwa.
 
Magumashi yanafanyika kwa Trump kila siku sijui sababu ni nini
 
Mwarabu alivyo mchawi na anavyong'ang'ania kwenda US sitoshangaa akitumia kila aina ya mbinu. Naiona vita ya kiroho kali kabisa katika utawala wa Trump lakini kwa hakika atashinda na zaidi ya kushinda.
Kwani Democrats ni waarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…